Hizi povu zote za Wabongo zinatokana na kutamaushwa kwao, kwani walipoteza raslimali nyingi sana kwa kujikomba komba Afrika Kusini, kwa kiherehere wakaingia kwenye vita vya Kusini. Hadi wa leo umaskini wa Tanzania mkubwa umetokana na kujihusisha kwenye kila ugomvi, Uganda na kote kote. Sasa wanakasirika kuona Kenya inatanua hiyo SADC wakati wao wamelala.
Leo hii Watanzania Afrika Kusini ni wamebaba mabox wakati Wakenya wanawekeza, hilo linawauma sana. Wakati Wasouth wanachinja chinja wageni mitaani hawakusaza hata Wabongo, walifagia kote kote.
Zaidi wanahisi ovyo kuona tumeanza hadi kuamrisha SADC na kuwaambiaa nini cha kufanya. Hilo linawafanya wanag'ake humu povu zikiwatoka. Bila shaka hata ingelikua ni mimi lazima ningelia kwa majonzi.