Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kinategemea imani tu utamnyima mtu kwa sababu ana miguu, mikono miwili, lakini akili yake je, nafsi yake je, ilomsuta hadi akaja kuomba? Kweli kuna watu wana roho mbaya. Bahati yako maishani unawachekeshea wale ambao hawakubahatika? Mi huwa najaribu kuwapa afu hayo mengine ya sijui mikono, miguu, atafanya nini na hela sijuhusishi nayo. Ndo maana sisi tunaitwa binadamu. Kila kitu kiko hivyo 'for a reason'.Kama kuna hela ya bure huko wanaipata nawaunga mkono.
Who cares endeleeni kuwapa pesa za bure watu wazima, mimi nikimuona mtu ananiomba lakini ni mzima mikono miguu kila kitu simpi hata shilingi
Uliona huyo habari?? Awajui?? Sasa na wewe ndo utakuwa mtanzania wa sampuli gani? Wewe mwenyewe kiswahili kimekuchapa hadi chobo!Watanzania wa wapi ambao awajui kiswahili...? yao ni Wakenya tu wasidangaje watu. Na Mimi niliona huyo habari. Awajui kiswahili kabisaaa......
Kwani Watanzania wote wanajua Kiswahili? Inawezekana ni Watanzania waliokimbia kuzisoma namba za Magufuli...Watanzania wa wapi ambao awajui kiswahili...? yao ni Wakenya tu wasidangaje watu. Na Mimi niliona huyo habari. Awajui kiswahili kabisaaa......
Wakenya wanaojiuza USA huwahurumii unawahurumia hao ombaomba. Ndugu zenu wanateseka kwa biashara ya kujiuza.Dah! Wanatia huruma na kusikitisha halafu la kushangaza Watanzania humu wanajibu kwa kiburi na kejeli wakati ndugu zao wanateseka kiasi hiki kwenye nchi za watu.
Wakenya wanaojiuza USA huwahurumii unawahurumia hao ombaomba. Ndugu zenu wanateseka kwa biashara ya kujiuza.
Kiswahili bora ni kudhalilisha sio kudharirisha eboh!Bora ujiuze badala ya huu uchafu, haya ni mateso jamani, muwaonee huruma na kuwasaidia huko kwenu kabla hawajaanza kusafiri kwenda kudharirisha nchi yenu.
hakuna nchi yenye wavivu kama tanzaniaHakuna nchi yenye njaa kama kenyaa
roho mbaya..Kiswahili bora ni kudhalilisha sio kudharirisha eboh!
Wooyiiii kujiuza ni bora kuliko...??!!
Kweli jirani umefikiriiiii na kuishia hapa?!
Uchafu umeona huu tu wa binadamu ila hujaona uchafu mwingine?!
Wakenya mna roho mbaya sana ' eti uchafu mwanadamu ninyi usafi wenu ni upi mtufundishe