Kenya: Omba Omba toka Tanzania huu ni unyama

Kenya: Omba Omba toka Tanzania huu ni unyama

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Beggars from Tanzania flood Kenyan streets

This makes me sad, reaally sad. wanaowaleta hawa omba omba kenya hawana utu!!!!
 
Hii tabia ipo sana. Akina "matonya" wa tz wanaamini kenya kuna ahueni ya kuomba. Wangine wapo nawafahamu, wanaenda kenya kuomba na wanarudi na assets kama vile TV, Radio na pesa. hata ndugu zao wanawaunga mkono! Wengine unakuta wanaweza kufanya kazi za mikono tz.
Pengine wakenya wanawaendekeza hawa watu.
 
Kama kuna hela ya bure huko wanaipata nawaunga mkono.

Who cares endeleeni kuwapa pesa za bure watu wazima, mimi nikimuona mtu ananiomba lakini ni mzima mikono miguu kila kitu simpi hata shilingi
 
Kama kuna hela ya bure huko wanaipata nawaunga mkono.

Who cares endeleeni kuwapa pesa za bure watu wazima, mimi nikimuona mtu ananiomba lakini ni mzima mikono miguu kila kitu simpi hata shilingi
Kila kitu kinategemea imani tu utamnyima mtu kwa sababu ana miguu, mikono miwili, lakini akili yake je, nafsi yake je, ilomsuta hadi akaja kuomba? Kweli kuna watu wana roho mbaya. Bahati yako maishani unawachekeshea wale ambao hawakubahatika? Mi huwa najaribu kuwapa afu hayo mengine ya sijui mikono, miguu, atafanya nini na hela sijuhusishi nayo. Ndo maana sisi tunaitwa binadamu. Kila kitu kiko hivyo 'for a reason'.
 
Watanzania wa wapi ambao awajui kiswahili...? yao ni Wakenya tu wasidangaje watu. Na Mimi niliona huyo habari. Awajui kiswahili kabisaaa......
 
Hata mtengeneze habari gani ya uongo UKUTA wa MERERANI a.k.a CHUGA unajengwa na wale wazungu mliokuwa mnawandanganya kuwa TANZANITE ni made in KENYA sasa sageni vipande vya chupa mwapelekee hamuipati tena ng'o!
 
Watanzania wa wapi ambao awajui kiswahili...? yao ni Wakenya tu wasidangaje watu. Na Mimi niliona huyo habari. Awajui kiswahili kabisaaa......
Kwani Watanzania wote wanajua Kiswahili? Inawezekana ni Watanzania waliokimbia kuzisoma namba za Magufuli...
 
Niliwahi sikia Kenya wamepiga sana hatua katika masuala ya haki za watu wenye ulemavu. Labda ndio sababu akina Matonya wanaenda huko
 
Ila kuna wengine lafidhi zao mbona za kikenya? Anyway labda wamekaa siku nyingi huko. Ila wengine ni wabongo kweli bila chenga, manake lafidhi ya kisukuma inasikika kwa uwazi na ukweli. Hamna namna wacha wapambane na hali yao.
 
Dah! Wanatia huruma na kusikitisha halafu la kushangaza Watanzania humu wanajibu kwa kiburi na kejeli wakati ndugu zao wanateseka kiasi hiki kwenye nchi za watu.
 
They see kenya as heaven,but serikali inafaifanye jambo kwenye haya mambo ya omba omba,wameja kila kona ya inchi hii na vibakuli vyao toka Tz
 
Dah! Wanatia huruma na kusikitisha halafu la kushangaza Watanzania humu wanajibu kwa kiburi na kejeli wakati ndugu zao wanateseka kiasi hiki kwenye nchi za watu.
Wakenya wanaojiuza USA huwahurumii unawahurumia hao ombaomba. Ndugu zenu wanateseka kwa biashara ya kujiuza.
 
Wakenya wanaojiuza USA huwahurumii unawahurumia hao ombaomba. Ndugu zenu wanateseka kwa biashara ya kujiuza.

Bora ujiuze badala ya huu uchafu, haya ni mateso jamani, muwaonee huruma na kuwasaidia huko kwenu kabla hawajaanza kusafiri kwenda kudharirisha nchi yenu.
 
Bora ujiuze badala ya huu uchafu, haya ni mateso jamani, muwaonee huruma na kuwasaidia huko kwenu kabla hawajaanza kusafiri kwenda kudharirisha nchi yenu.
Kiswahili bora ni kudhalilisha sio kudharirisha eboh!
Wooyiiii kujiuza ni bora kuliko...??!!
Kweli jirani umefikiriiiii na kuishia hapa?!
Uchafu umeona huu tu wa binadamu ila hujaona uchafu mwingine?!
Wakenya mna roho mbaya sana ' eti uchafu mwanadamu ninyi usafi wenu ni upi mtufundishe
 
roho mbaya..
emoji23.png
emoji23.png
..i like this statement
 
Magu tafadhali waangalie walemavu hawa wasije wakatupa EA aibu...ulemavu si makosa ila ni makosa kujidharau sababu wewe ni mlemavu na kuanza ku omba omba...ila serikali pia iwajibike iwape kazi na masomo...
 
Back
Top Bottom