Kenya on the verge of being last in a region it once ruled

Iconoclastes, a thing KANU could not do with Moi as he openly picked Uhuru via undemocratic means resulting into KANU collapse!
 
Inawezekana hawakuwa wanamuelewa na sera zake wakati walimchagua kuania urais kwa tikiti cha CCM. Amewashtukizia tu. Back then he seemed like a good, humble obedient chap whom they could easiy wrap around the pinky finger.

CCM ni Chama kikubwa na chenye uzoefu mkubwa sana kwenye mambo ya siasa wengi wanasahau hili, CCM is modelled after communist party of China, Vietnam and the likes na ukitaka kuielewa CCM jaribu kuvielewa vyama vya hizo nchi, hivyo kusema kwamba CCM wanaweza tu kumuweka mtu awe Raisi ambaye hawamjui ni kujidanganya, amini usiamini CCM wanamjua vizuri Magufuli na anayoyafanya ndiyo waliyoyategemea kumbuka kwamba CCM ni lazima ionyeshe kwamba nchi inabadilika hivyo ni lazima ichukuwe hatua ngumu na muhimu ili kuweza kuivusha nchi vinginevyo kuna hatari kubwa ya CCM kukataliwa na hilo wanalifahamu hivyo kila kitu kiko planned na CCM hao hao ni watu wasioelewa ndiyo wanaongea ongea lkn Magufuli na CCM wote lao moja!
 
I don't have time for the ideas of loose Canon for hire like Makau Mutua, he can seek Tanzanian citizenship for all i care

Dismiss what he said about Tanzania, because he sounds ignorant of the country down south. But to be honest, there is every need for our country-people to dialogue with each other. We are doing so well economically, but taking a nose dive politically and might cost us heavily.
 
CCM ni Chama kikubwa na chenye uzoefu mkubwa sana kwenye mambo ya siasa wengi wanasahau hili, CCM is modelled after communist party of China, Vietnam and the likes na ukitaka kuielewa CCM jaribu kuvielewa vyama vya hizo nchi, hivyo kusema kwamba CCM wanaweza tu kumuweka mtu awe Raisi ambaye hawamjui ni kujidanganya, amini usiamini CCM wanamjua vizuri Magufuli na anayoyafanya ndiyo waliyoyategemea kumbuka kwamba CCM ni lazima ionyeshe kwamba nchi inabadilika hivyo ni lazima ichukuwe hatua ngumu na muhimu ili kuweza kuivusha nchi vinginevyo kuna hatari kubwa ya CCM kukataliwa na hilo wanalifahamu hivyo kila kitu kiko planned na CCM hao hao ni watu wasioelewa ndiyo wanaongea ongea lkn Magufuli na CCM wote lao moja!

Wewe na hii CCM yako naona hukomi kuwadanganya Wakenya na kujidanganya pia. Kuna baadhi yetu tunafahamu fika siasa za Bongo, huna jipya.
CCM ilikua imewafika Watanzania kwenye pua, Magufuli aliwaokoa nyie, mngepigwa chini. Angalia historia ya ushindi wa CCM, wakati wote mlikua mnashinda kwa asilimia nyingi, lakini hii ni mara ya kwanza kwenu kushinda kwa asilimia ndogo sana pamoja na kwamba kulikua na tetesi za wizi wa kura. Halafu katiba yenu mbovu, hairuhusu upinzani kujitetea mahakamani baada ya mshindi kutangazwa.

Magufuli anapata wakati mgumu sana kufanya kazi mkiwemo, hana uhuru wa kutosha maana nyie hapo ndio mlifanya madudu hadi akafikia kuwa rais. Hivyo inakua vigumu kwake kuharibu kiganja kilichomlisha tonge. Hebu nenda kafanye hizi PR zako za CCM huku kwa huyu Mtanzania ambaye bado anasubiri kuona Magufuli akitumbua jipu Magufuli hajatumbua jipu hata moja tangu aingie madarakani
 
Wapinzani ndiyo walioiba kura na siyo CCM, walishikwa watu wa IT wageni ktk Korea, Kenya, Ghana na kwingineko ambao walihack mfumo wa kura ya Tume yetu ya uchaguzi, lkn hizo kura milioni 6 hawakuzifikisha!

Halafu nyie watu wa chadema ni wa ajabu sana, mnasema Watanzania wameichoka CCM, sasa iweje CCM imetapata kura milioni 2 zaidi ya ukawa ambao ni karibia 20% ya kura zote zilizohesabiwa? Yaani tofauti ya CCM na ukawa ni asilimia 20 sasa Chama kilichochokwa kinawezaje kushinda uchaguzi kwa tofauti ya 20%???!
 
Being last in what?

One thing you should know is these people make money from writing. Whatever sells,they write.
 
I tend to avoid anything Makau Mutua writes.I am not sure of his sanity.The things he writes its like the ramblings and hallucinations of a mad man.He thinks because he hates Uhuruto with an abnormal intensity,that if he writes even lies and out of the world weird things about Kenya he is hurting Uhuruto.Kenya is the ultimate looser and if he is not Kenyan let him stick in Newyork and live his dirty sodomite life in peace.This gay men have an abnormality in their brains,methinks.
Is it the fashion this days to dismiss anybody whose view you disagree with as gay?
 
Dismiss what he said about Tanzania, because he sounds ignorant of the country down south. But to be honest, there is every need for our country-people to dialogue with each other. We are doing so well economically, but taking a nose dive politically and might cost us heavily.

Eti Hii story ni kweli au Wazinguaji tu? Hv kuna associations za namna hii Kenya? Nini hasa lengo lao?
Nadhani Uhuru una mipaka....kwa nini hata kuwapa airtime kwa issue za namna hii?

nkbgpi4kza8qf7h574bf0a989daa.jpg

Days after the Rwandese government ditched the Kenya standard gauge railway line for the Tanzanian one, the billion-dollar infrastructure project has run into even more headwinds.

This is after veteran train roof riders warned that the SGR speeds will be too high and dangerous for them. They have thus threatened to go to court. The riders whose umbrella lobby body is the Roof Riders Association had initially wanted to call themselves Rough Riders but found the name had already been taken.

After Rwanda exit, standard gauge railway runs into more headwinds
 
I thought Kenyans r tolerable to LGBTs!
As long as u dont make a big deal about the fact that u are gay, pipo will leave u alone. But Kenya is still a conservative society, LGBT isnt yet embraced. But there are rights groups calling for their acceptance.
 
This is Good... Let's be like Western Europe

Kenya nikama Britain The loudest noisemaker in The West but France and Germany have larger economies than the UK.... am good with that as long as we all develop without war!!!
Is this really you? Did you just concede to your pending defeat? Hahahaaaa.......this is good. Dawa imewaingia!
 
Bwahahah, Tanzania is kicking/whipping Kenya's rear ends! This will be my new quote! Those Kenyan tanyees must be in pain soiled, soured n swollen!
It is Ethiopia, not Tanzania that is a pain on Kenya's butt. Tz needs at least +20years to catch up with Kenya.
 
I just quoted Makau

"In the region, two countries are kicking our rear end. Tanzania has slowly been stealing Kenya’s thunder. Visit Dar, if you haven’t lately, and you will see a city on the move. Give Dar a decade and it will totally outstrip Nairobi. President John Pombe Magufuli is a truly new breed. He doesn’t do PR. A throwback to the austere Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, he’s fired up the imagination of Tanzanians. He’s Mwalimu 2.0 No, he’s not digital – he’s better than that. That because he guillotines the corrupt without pity.
He’s taken Africa by storm – he’s truly kusema na kutenda (not just talk but action). I’ve heard some Kenyans pining for Mr Magufuli. He’s Rwanda’s Paul Kagame without autocracy."
 
Finally you have postponed to another 10years just as you are known of.
 
That is we disagree with Makau, Geza Ulole. The gap btwn Kenya and Tanzania is still quite large, regardless of the Tz's renewed determination in development.
 
nni imeleta hii shida yote..Hiyo pipeline deal?nkt
 
Siku zote ukweli.ni.mchungu,wajukuu wa Kenyatta hawataki kusikia wala kuamini kuwa gap la Kenya.na majirani zake hasa Tz linazidi kupungua siku hadi siku
 
mkishatupita njooni mtuambie hizi kelele zimezidi sasa
 
Back
Top Bottom