Kenya on the verge of being last in a region it once ruled

Kenya on the verge of being last in a region it once ruled

Is it the fashion this days to dismiss anybody whose view you disagree with as gay?
You think I dismissed the sodomite because I disagree with his views?His gay lifestyle in Newyork is a know fact,investigate and you'll confirm.
 
Siku zote ukweli.ni.mchungu,wajukuu wa Kenyatta hawataki kusikia wala kuamini kuwa gap la Kenya.na majirani zake hasa Tz linazidi kupungua siku hadi siku

Kasome historia ya uchumi baina ya hizi nchi mbili, gap ilikua ndogo sana hapo miaka ya awali, lakini baadaye ikanenepa mara na kuwa kubwa. Hadi mpige hiyo CCM chini na mkubali kufanya kazi na kuacha kulialia, mtaendelea kusoma namba.
 
Huyu mwandishi anataka awapumbaze watanzania,yaani ccm hii ambayo imejaa mipango hewa miiingi tangu uhuru hatujawahi fanikiwa jambo lolote,wameúruga elimu lakini mbaya zaidi wamemleta rais mwenye mawazo ya kijima na ambaye hajui hata kanuni za uchumi na haeleweki anataka kupuleka nchi wapi,yaani kitakachomjia ndo anafanya,kwa sasa shughuli za uchumi zimepungua na hatujawasikia wakituambia hatua za kufikia nchi ya viwanda wala kuja na target ya economic growth,chini ya huyu mjamaa nchi itapiga mark time sana.Pamoja na mapungufu ya JK,ni katika uongozi wake nchi imepata maendeleo sana kuliko awamu 2 zilizopita
 
sisi twasubir mwakani tuu...mtaweka reverse gear ya ukwelii
 
Kwa spidi hii ya kuua biashara kwa matamko ya kisiasa sijui tunaclose hiyo gap na nani. Tukiendelea hivi tutafeli kuliko tulivyokuwa tunafeli awamu zilizopita

Wafanyabiashara wakubwa wamekuwa labeled 'wezi' sasa tusubiri msimu huu wa mavuno nani atanunua mazao ya wakulima
 
Hebu tupige hesabu kiasi ndipo tu jue iwape Kenya yapitwa na Tanzania au la.

Uchumi wa Kenya, Uhabeshi na Tanzania Mwaka 2015 ulikua $63.1bn, $63bn na $46.2bn mtawalia kulingana na IMF. Mwaka huu, Ukuaji wa Uchumi katika nchi hizi tatu 6% kwa Kenya, 4.4% kwa Ethiopia na 6.9% kwa Tanzania. Kwa hivyo mwishoni mwa Mwaka, Kenya itakua $66.9bn, Ethiopia $65.7bn na Tanzania $49.4bn

Ingawa Tanzania yakua kwa kasi kuliko Kenya, Mwanya kati ya Taifa hizi yatoka $16.9bn hadi $17.5bn
 
saadeque, nani ameandika haya makala? BTW wewe kama Mkenya assuming Muislam, unajivunia nn Ukenya wakati nafasi za uongozi ni chache mnapewa! Uache unafki wenzio wanadai Pwani endelea kuwa kibaraka wa serikali ya Wakikuyu!
 
saadeque, nani ameandika haya makala? BTW wewe kama Mkenya assuming Muislam, unajivunia nn Ukenya wakati nafasi za uongozi ni chache mnapewa! Uache unafki wenzio wanadai Pwani endelea kuwa kibaraka wa serikali ya Wakikuyu!
 
Back
Top Bottom