Hahahaha
Hawana pesa za bundle, Kenya ni shida walahi
Kwani nani alianzisha ile thread, si mkenya. Wote tuna makosa.Ati demu WA Kenya Vs Demu WA Tanzania.... Wat the f**K is that?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikumiss mzee mama,ulipotelea wapi wallahi?Hahahaha
Hawana pesa za bundle, Kenya ni shida walahi
Hahahaha
Hawana pesa za bundle, Kenya ni shida walahi
Hamna kitu, ndio maana nikakushusha kwa bundle!
Sema ukweli, mlituponda sana watz tulipoenda kusherekea mapokezi ya dreamliner, mkatwita washamba na kejeli kibao. Kiliwauma nini waTZ kusherekea maendeleo yao?Kwa mfano uzi wa KQ kununua ndege watz wamemwaga povu tena kwa ukali yani ni mbaya Kenya kusheherekea maendeleo tena kwa forum yao.
I know WiFi ni kelele tu kwako.Hamna kitu, ndio maana nikakushusha kwa bundle!
Kenya kwishney walahi
Bani bani ndugu yanguNilikumiss mzee mama,ulipotelea wapi wallahi?
Ethnic diversity ya Kenya imeleta shida inaitwa tribalism. Counties ndio zimezidisha ugonjwa wa ukabila.Is it Bi. Mimo ?Thats a good observation,but tbh forum huwa ni ya kenya but 'some' Tanzanians ndo huleta ujuaji,n if you know kenians hatutakangi ujinga,thats how much we love our beautiful,amazing,ethnic diverse,racially diverse country.na nimeenda kulala[emoji125] [emoji120]
Masikini mkenya!
Hapa ninapokaa jirani yangu ni balozi zenu
Nyie endeleeni kunyea kwenye plastic bags Hahahaha
Slaves in your own country uwiii
Hakika umaskini ni laana walahi
Masikini mkenya!
Hapa ninapokaa jirani yangu ni balozi zenu
Nyie endeleeni kunyea kwenye plastic bags Hahahaha
Slaves in your own country uwiii
Hakika umaskini ni laana walahi
Wewe uko high on drug,hizo news umetoa wapi?juu as far as i know nyi ndo mna njaa ndo maana malfunctionings zumejaa kwenu kama kwashiorkor etc hahani kweli kenya hamna njaa, maana nyangau wengi kama wewe wanadhani kenya ni nairobi, mbaya zaidi mara hii hata nairobi kuna njaa
Tribalism ni wewe ,kenya hakuna tribalism mzaeEthnic diversity ya Kenya imeleta shida inaitwa tribalism. Counties ndio zimezidisha ugonjwa wa ukabila.Is it Bi. Mimo ?
😃😃Bani bani ndugu yangu
Sasa naenda kwa hekima
Hahahaha
What a you talking bout nigga,huelewekiKenya ni kikundi cha wahuni walioamua kujirundika mahali na kuamua kutawaliwa na wahuni wenzao wenye nguvu zaidi.
Watumwa walioamua kutumikishwa na bado wanajiona wajanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makabira!!hio ndio,ama ni new word,ongea swahili ama english mzae,ama uende ukalimeTatizo la wakenya ni makabira machache sanaa uku tz tunaishi kama ndugu utani kwetu ni kitu cha kawaida sana kwasababu tunamuingiliano wa kimakabira kwaiyo mnajikuta mpo serious sana na maishaaa acheni izoo
Sent from my iPhone using JamiiForums