Kenya or Tanzania forum

Kenya or Tanzania forum

Kwa mfano uzi wa KQ kununua ndege watz wamemwaga povu tena kwa ukali yani ni mbaya Kenya kusheherekea maendeleo tena kwa forum yao.
Sema ukweli, mlituponda sana watz tulipoenda kusherekea mapokezi ya dreamliner, mkatwita washamba na kejeli kibao. Kiliwauma nini waTZ kusherekea maendeleo yao?
 
Thats a good observation,but tbh forum huwa ni ya kenya but 'some' Tanzanians ndo huleta ujuaji,n if you know kenians hatutakangi ujinga,thats how much we love our beautiful,amazing,ethnic diverse,racially diverse country.na nimeenda kulala[emoji125] [emoji120]
Ethnic diversity ya Kenya imeleta shida inaitwa tribalism. Counties ndio zimezidisha ugonjwa wa ukabila.Is it Bi. Mimo ?
 
ni kweli kenya hamna njaa, maana nyangau wengi kama wewe wanadhani kenya ni nairobi, mbaya zaidi mara hii hata nairobi kuna njaa
Wewe uko high on drug,hizo news umetoa wapi?juu as far as i know nyi ndo mna njaa ndo maana malfunctionings zumejaa kwenu kama kwashiorkor etc haha
 
Kenya ni kikundi cha wahuni walioamua kujirundika mahali na kuamua kutawaliwa na wahuni wenzao wenye nguvu zaidi.

Watumwa walioamua kutumikishwa na bado wanajiona wajanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wakenya ni makabira machache sanaa uku tz tunaishi kama ndugu utani kwetu ni kitu cha kawaida sana kwasababu tunamuingiliano wa kimakabira kwaiyo mnajikuta mpo serious sana na maishaaa acheni izoo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo la wakenya ni makabira machache sanaa uku tz tunaishi kama ndugu utani kwetu ni kitu cha kawaida sana kwasababu tunamuingiliano wa kimakabira kwaiyo mnajikuta mpo serious sana na maishaaa acheni izoo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Makabira!!hio ndio,ama ni new word,ongea swahili ama english mzae,ama uende ukalime
 
Back
Top Bottom