What a you talking bout nigga,hueleweki
Forum yenu ipi hiyo shekhe? Hii ni forum yetu kujadili mambo yanayojiri Africa Mashariki na kati, nyie mmejiongeza tu humu na sisi siyo desturi yetu kukataa mgeni.Kwa mfano uzi wa KQ kununua ndege watz wamemwaga povu tena kwa ukali yani ni mbaya Kenya kusheherekea maendeleo tena kwa forum yao.
Shinda hapo,lamba loloForum yenu ipi hiyo shekhe? Hii ni forum yetu kujadili mambo yanayojiri Africa Mashariki na kati, nyie mmejiongeza tu humu na sisi siyo desturi yetu kukataa mgeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujaingia Kenya forum utakuta intro pale saaafi kabisa "serious discussions on Kenyan politics and latest news from Kenya" hapo kama kichwa yako ipo makini kuchanganua lugha ya kimombo utaelewa kabisa hii forum ni kwa ajili ya wazawaShinda hapo,lamba lolo
Pole ndugu,sikuelewi ,but what i know is that Tanzanians need kenyans ,that explains why Uganda forum iko dead mbaya,Kabla hujaingia Kenya forum utakuta intro pale saaafi kabisa "serious discussions on Kenyan politics and latest news from Kenya" hapo kama kichwa yako ipo makini kuchanganua lugha ya kimombo utaelewa kabisa hii forum ni kwa ajili ya wazawa
Nyie mwanzo mlikuwa mna mendeamendea humu kwa kusoma habari zetu tukaona isiwe taabu acha tuongeze forum special kwa ajili ya habari za EAC na nyie ndio mkapata nguvu hata ya kujadili mada zetu humu
Kama isingekuwa desturi yetu kuongea na kucheka na kila mtu kiwema(kiroho safi) hata kama nyangau inakudhihaki, humu mngeshakimbia kitambo sana...Si umeona sasa tumewakaribisa mkajisikia mpo nyumbani na kujisahau kabisa hadi kufikia kusema forum ni kwa ajili yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndugu,sikuelewi ,but what i know is that Tanzanians need kenyans ,that explains why Uganda forum iko dead mbaya,
Kwa kilivhotokea leo apa mpakani Namanga. Hii coment inaebdelea kuishi tena kwa maisha ya kifahari kabsa.Kenya ni kikundi cha wahuni walioamua kujirundika mahali na kuamua kutawaliwa na wahuni wenzao wenye nguvu zaidi.
Watumwa walioamua kutumikishwa na bado wanajiona wajanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani katika vitu ninvyo ona vya ovyo kabisa ndio hivyoAti demu WA Kenya Vs Demu WA Tanzania.... Wat the f**K is that?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana laana hawa WAKENYAKenya ni kikundi cha wahuni walioamua kujirundika mahali na kuamua kutawaliwa na wahuni wenzao wenye nguvu zaidi.
Watumwa walioamua kutumikishwa na bado wanajiona wajanja.
Sent using Jamii Forums mobile app