Kenya or Tanzania forum

Kenya or Tanzania forum

Kwa mfano uzi wa KQ kununua ndege watz wamemwaga povu tena kwa ukali yani ni mbaya Kenya kusheherekea maendeleo tena kwa forum yao.
Forum yenu ipi hiyo shekhe? Hii ni forum yetu kujadili mambo yanayojiri Africa Mashariki na kati, nyie mmejiongeza tu humu na sisi siyo desturi yetu kukataa mgeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shinda hapo,lamba lolo
Kabla hujaingia Kenya forum utakuta intro pale saaafi kabisa "serious discussions on Kenyan politics and latest news from Kenya" hapo kama kichwa yako ipo makini kuchanganua lugha ya kimombo utaelewa kabisa hii forum ni kwa ajili ya wazawa

Nyie mwanzo mlikuwa mna mendeamendea humu kwa kusoma habari zetu tukaona isiwe taabu acha tuongeze forum special kwa ajili ya habari za EAC na nyie ndio mkapata nguvu hata ya kujadili mada zetu humu

Kama isingekuwa desturi yetu kuongea na kucheka na kila mtu kiwema(kiroho safi) hata kama nyangau inakudhihaki, humu mngeshakimbia kitambo sana...Si umeona sasa tumewakaribisa mkajisikia mpo nyumbani na kujisahau kabisa hadi kufikia kusema forum ni kwa ajili yenu.

Pole ndugu,sikuelewi ,but what i know is that Tanzanians need kenyans ,that explains why Uganda forum iko dead mbaya,
 
Ati demu WA Kenya Vs Demu WA Tanzania.... Wat the f**K is that?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani katika vitu ninvyo ona vya ovyo kabisa ndio hivyo
Mbaya zaidi ikitokea maada ya kenya na Tz mijitu inatikwa na povu kama mitahira hivi watakoccoment watu wengi kuliko maada nyingine zenye tija na za kujenga zaidi
Nomba mods waliangalie hili kama vipi maada yeyote inayoleta ushidani au au majivuno kati ya nchi hizi mbili hiyo maada ipigwe bani
 
Back
Top Bottom