Kenya: Pacha wawili waomba kuolewa na mwanaume mmoja ili wasitenganishwe. Jamaa akubali kuwaoa

Kenya: Pacha wawili waomba kuolewa na mwanaume mmoja ili wasitenganishwe. Jamaa akubali kuwaoa

Hivi hatuwezi kudukua maombi ya hawa mabinti tuedit waolewe Tanganyika? Ikishindikana liwekwe pingamizi la kikatiba mabinti wawili wenye majukumu makubwa upande wa uani kuolewa na kijana mdogo..tena mwembamba imagine!
 
Back
Top Bottom