Yote awezekana every hole is a goal mzeyaVp 071...... Unaomba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote awezekana every hole is a goal mzeyaVp 071...... Unaomba?
Yupi? Niambie tu nimfuate shachoka kulalia tumbo alfajiri na wakati wa kumkumbatia yupoTeh teh teeeeh! Si yuleee
Na ukizangatia yuko likizo hebu mtafuteHahaha weee jamaaa bwana.
Mambo ya Evelyn Salt hayo sijui wikend hii kajificha wapi
Katika kikao chao mashangazi wa jf kikiongozwa na Joannah wanasema mie ata top sixty ya wanaume jf sijatoboa. Jaribu wewe bwanaNa ukizangatia yuko likizo hebu mtafute
🤣🤣🤣🤣Yupi? Niambie tu nimfuate shachoka kulalia tumbo alfajiri na wakati wa kumkumbatia yupo
wewe mwenyewe wala sio shangazi...nimepata story zako kumbe flat screen ata kwenye kundi la mashangazi huingiiiHuna lolote,mbwembwe nyingi vitendo huna mashangazi unatuudhi sana😁😁
Jamaa anaakili sana kutokuiliza swali kwenye hizi baraka alizoshushiwa na Sir God.Huko Kenya, pacha wawili wamemuomba mwanaume mmoja awaoe ili wasitengane.
Pacha hao wenye miaka 20 wamesema hawataki kutenganishwa hivyo waolewe na mwanaume mmoja.
Bwana Oleman Learat mwenye miaka 26 amekubali kuwaoa Anna na Emily wenye miaka 20 ili tu wasitengane.
Soma mwenyewe hapa chini.
----
Mtangazaji wa redio ya kijamii ya Wambaz ya nchini Kenya, Oleman Learat, mwenye umri wa miaka 26, amepanga kukimbia ukapera kwa kuoa wasichana pacha.
Pacha hao, Anne Samken na Emily Salaon (miaka 20), wameamua kuolewa wote na kijana huyo wakisema hawawezi kutenganishwa, kwa hivyo, wamekubaliana kwamba ni afadhali waolewe na mume mmoja.
“Nimeiambia familia yangu kuhusu nia yangu ya kuwaoa hawa pacha haijakataa lakini wanauliza maswali mengi,” Oleman ameliambia gazeti la Taifa Leo na kuongeza kwamba yeye anaona kama anaoa ‘msichana mmoja’ tu kwani wanafanana kwa kila kitu!
Japo Oleman anasema atawajengea kila mmoja nyumba yake katika boma moja, pacha hao ambao ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCA cha jijini Nairobi wamesema itakuwa vigumu wao kukaa mbalimbali.
“Sisi hatujawahi kutenganishwa tangu tukiwa shule ya chekechea,” anaeleza Emily.
“Walimu walitutenganisha kwa mwaka mmoja tukiwa shule ya Sekondari mwaka wa 2021 (wakiamini ndio tutafanya vizuri katika masomo) lakini tuloishi kwa huzuni na upweke sana.”
Oleman anasema alianza uhusiano na warembo hao mwaka jana 2023 na kwamba mwanzo ilikuwa ngumu kuwatofautisha lakini sasa anaweza kuwatofautisha, hasa kwa namna wanavyoongea.
Mwanahabari Oleman amesema alikutana kwa mara ya kwanza na pacha hao katika hafla za burudani na kuvutiwa nao.
“Niliona wanafanana kwa kila kitu. Ukiuliza swali, wanajibu pamoja. Nikaanza kuwachumbia na wakanipenda. Kimsingi huwezi kuongea na mmoja akamtenga mwenzake. Kwa hiyo hata nikipiga simu, lazima niwajumuishe wote wawili,” amesema.
Chanzo: Taifa Leo
Amewapima temperature?kwamba yeye anaona kama anaoa ‘msichana mmoja’ tu kwani wanafanana kwa kila kitu!
Muache afaidi kwani we ungepata zali kama hilo ungekataa Monk?
Vunja mifupa babu, jamaa anaenda kujipigia kwa raha zake watoto wameutaka wenyeweUnajua kabisa huo mtihani ulivyo...imekaa kisanii zaidi ila Ina kamzuka kake.
Hapa najiuliza inamaana mtu na Mdogo wake wakisema hawataki kutengamana waolewe na mme mmoja kumbe inawezekana? Lakini kimaadili imekaaje?
The Monk nimeshazeeka vitu ninavyovifurahia vinazidi kupungua.
Vunja mifupa babu, jamaa anaenda kujipigia kwa raha zake watoto wameutaka wenyewe
DuuhHuko Kenya, pacha wawili wamemuomba mwanaume mmoja awaoe ili wasitengane.