Kenya: Pacha wawili waomba kuolewa na mwanaume mmoja ili wasitenganishwe. Jamaa akubali kuwaoa

Jamaa anaakili sana kutokuiliza swali kwenye hizi baraka alizoshushiwa na Sir God.
 
Muache afaidi kwani we ungepata zali kama hilo ungekataa Monk?

Unajua kabisa huo mtihani ulivyo...imekaa kisanii zaidi ila Ina kamzuka kake.

Hapa najiuliza inamaana mtu na Mdogo wake wakisema hawataki kutengamana waolewe na mme mmoja kumbe inawezekana? Lakini kimaadili imekaaje?

The Monk nimeshazeeka vitu ninavyovifurahia vinazidi kupungua.
 
Vunja mifupa babu, jamaa anaenda kujipigia kwa raha zake watoto wameutaka wenyewe
 
Huyu bwana atakuja kujuta sana kadiri muda unavyokwenda. Huu ni mtego. 😁
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…