Mzabzab ana cheo chake, nasikia hizi taarifa zimemsononesha sana, anatamani ingekua ni yeyeNi mzabzab tu na dhambi zake, mi hayo mambo hata siyajui....๐
Uko wapi lakini.....
Kwahiyo hao ndo wana wa 3some eeh!! Wanafaidi sana,
Huna ubabu wowote acheni kutunyima ambavyo hatujawaomba๐๐
Simu yangu haina chaji na umeme umekatika babu, nitarudi baadaeHauwezi kumnyima mtu kitu usichokua nacho, harakati zilishafika tamati. Muda wetu imeisha, Kwa Sasa tunajitahidi Milo yenye mboga mboga, matunda Kwa wingi na mazoezi ya hapa na pale.
Hao jamaa ndio wataalam wenyewe waasisi kabisa tena wana hati miliki.
huo sasa mtafutano ๐Halafu wote wabebe mimba za mapacha๐
Wameurudisha
Nilishuhudia mshkaji mmoja alitaka kuoa na mchumba akasema siwezi kumuacha rafiki wa damu damu, tulieishi tangu utoto kwa hiyo tuoe wote
Jamaa akawaoa wote 2
Tatizo likaanza walipochangia mme
Haikufika hata miaka miwili, mmoja wao akasema nimechoka ku share mme
Akaomba talaka mwenyewe
Nafikiria tu na sio mchawi
Niko hapa
Lakini ni bora kuwa na wake wawili wasiojuana kuliko hao pachaMii wasiwasi wangu, wanapokuwa na umoja inakuwa sawa una mke mmoja. Maana hakuna ushindani ambao huongeza ubora. Kwa zamani ingekuwa bomba sana, ila kwa sasa inapaswa wawe na biff halafu wewe katikati yao unakula raha.
๐
Hawajafanana kihivyo.Huko Kenya, pacha wawili wamemuomba mwanaume mmoja awaoe ili wasitengane.
Pacha hao wenye miaka 20 wamesema hawataki kutenganishwa hivyo waolewe na mwanaume mmoja.
Bwana Oleman Learat mwenye miaka 26 amekubali kuwaoa Anna na Emily wenye miaka 20 ili tu wasitengane.
Soma mwenyewe hapa chini.
----
Mtangazaji wa redio ya kijamii ya Wambaz ya nchini Kenya, Oleman Learat, mwenye umri wa miaka 26, amepanga kukimbia ukapera kwa kuoa wasichana pacha.
Pacha hao, Anne Samken na Emily Salaon (miaka 20), wameamua kuolewa wote na kijana huyo wakisema hawawezi kutenganishwa, kwa hivyo, wamekubaliana kwamba ni afadhali waolewe na mume mmoja.
โNimeiambia familia yangu kuhusu nia yangu ya kuwaoa hawa pacha haijakataa lakini wanauliza maswali mengi,โ Oleman ameliambia gazeti la Taifa Leo na kuongeza kwamba yeye anaona kama anaoa โmsichana mmojaโ tu kwani wanafanana kwa kila kitu!
Japo Oleman anasema atawajengea kila mmoja nyumba yake katika boma moja, pacha hao ambao ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCA cha jijini Nairobi wamesema itakuwa vigumu wao kukaa mbalimbali.
โSisi hatujawahi kutenganishwa tangu tukiwa shule ya chekechea,โ anaeleza Emily.
โWalimu walitutenganisha kwa mwaka mmoja tukiwa shule ya Sekondari mwaka wa 2021 (wakiamini ndio tutafanya vizuri katika masomo) lakini tuloishi kwa huzuni na upweke sana.โ
Oleman anasema alianza uhusiano na warembo hao mwaka jana 2023 na kwamba mwanzo ilikuwa ngumu kuwatofautisha lakini sasa anaweza kuwatofautisha, hasa kwa namna wanavyoongea.
Mwanahabari Oleman amesema alikutana kwa mara ya kwanza na pacha hao katika hafla za burudani na kuvutiwa nao.
โNiliona wanafanana kwa kila kitu. Ukiuliza swali, wanajibu pamoja. Nikaanza kuwachumbia na wakanipenda. Kimsingi huwezi kuongea na mmoja akamtenga mwenzake. Kwa hiyo hata nikipiga simu, lazima niwajumuishe wote wawili,โ amesema.
Chanzo: Taifa Leo
Bwana wee mie sina bahati na threesomes ila natamani sanaaaaMzabzab ana cheo chake, nasikia hizi taarifa zimemsononesha sana, anatamani ingekua ni yeye
Nipo Kizimkazi nashangaa Dolphins tajiri
Sasa mjukuu, ikitokea pacha wawili wakiume na wenyewe watake kuoa mke mmoja itakua sawa kweli?Wameurudisha
Asante babu๐na kwako pia
Wakiutaka wapewe tu japo ni ngumu sanaSasa mjukuu, ikitokea pacha wawili wakiume na wenyewe watake kuoa mke mmoja itakua sawa kweli?
Wakiutaka wapewe tu japo ni ngumu sana
๐ถ๐ต........akapendwa na mapacha wawili, na kuwaacha watu wote wakimshangaa........ ๐ต๐ถZaali la mentali limetokea wakati .....
We huwezi najua hiloNawaza hapa nilivyokua na wivu....mnaachiana zamu?
Nna wivu balaaaWe huwezi najua hilo