Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale kimya kimya basi wasitubagaze majirani.Acha wale........si zao.......
South Africa ndo kiboko yao wao watafungua April 2021.Kenya wahurumieni wananchi wenu, mmefunga shule mwaka mzima, mmewapotezea watu ada na muda.
Hapa ndipo huwa nashindwa kukutofautisha na nguruwe.Au ingejenga Reli ya SGR kilomita 400
ndio maana 200km zinewashinda hamna hela [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna Sayansi pale. Kenya Ni wataalamu wa kubunya pesa design hiyo kumbuka Anglo Leasing miaka ile. Political elites KE wanaishi dunia ya peke yao, hata KQ watu wameweka mitaji mule kupitia benki zao za ndani
Wangefuata katiba inavyotaka UHURUTO hawakupaswa kugombea 2013. Maana walikua na kesi ya kujibu ICCHivi katiba mpya kazi yake ni nini?
Ujinga wenu ni kwamba huwa hamna taarifa za kutosha kuhusu Tanzania,wakati sisi tuna data zote na wengi wetu tuliwahi kusoma huko tunawajua vizuri sana,wewe endelea kujichimbia hapo Embu.Au ingejenga Reli ya SGR kilomita 400
ndio maana 200km zinewashinda hamna hela 😂😂😂
😂😂😂😂😂 Tukishaingia pale Jukwaa la siasa Kila kitu kuhusu Tanzagiza kinakuwa wazi.Ujinga wenu ni kwamba huwa hamna taarifa za kutosha kuhusu Tanzania,wakati sisi tuna data zote na wengi wetu tuliwahi kusoma huko tunawajua vizuri sana,wewe endelea kujichimbia hapo Embu.
Reli Dar -Moro ipo 85%
Moro - Dodoma ipo 40% na hatujakopa mpaka hatua hiyo.
Si mlikuwa mfungue November mwaka Jana 😂
Atabadilisha wapi wasiokula mlungula? Kenya life ngumu sana mtu akipata upenyo anafyonza yeye na ukoo wake.Uhuru kazinduka kawapa likizo ya siku 14 Viongozi waandamizi wa Serikali (CS, PS, CAS)
Unataka kusema hizo vifo zote ni za corona?na wanakufa kweli kweli..
460 sasa hivi watafika 500View attachment 1536778
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Unataka kusema
hizo vifo zote ni za corona?