Kenya: Pesa ya COVID inatafunwa bila huruma

Hapa kwetu zilichangwa zaidi ya bil 50 na watu mbalimbali zote zimepelekwa Chato.
 
Wanakomba mpaka mboga huyo Ruto ndo baraa lingine ana hotel matata karibu na Kile kiwanja cha ndege cha Wilson alipora hicho kiwanja zikapigwa sarakasi flan sijasikia mustakabali tena.
 
Acha wale........si zao.......
 
Kenya wahurumieni wananchi wenu, mmefunga shule mwaka mzima, mmewapotezea watu ada na muda.
 
Au ingejenga Reli ya SGR kilomita 400
ndio maana 200km zinewashinda hamna hela [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndipo huwa nashindwa kukutofautisha na nguruwe.

Imetushinda si ndio[emoji38][emoji38][emoji38]. Subiri ntakuoa mimi mwenyewe uje upande tuelekee Morogoro.
 
Hamna Sayansi pale. Kenya Ni wataalamu wa kubunya pesa design hiyo kumbuka Anglo Leasing miaka ile. Political elites KE wanaishi dunia ya peke yao, hata KQ watu wameweka mitaji mule kupitia benki zao za ndani

Hivi katiba mpya kazi yake ni nini?
 
Hivi katiba mpya kazi yake ni nini?
Wangefuata katiba inavyotaka UHURUTO hawakupaswa kugombea 2013. Maana walikua na kesi ya kujibu ICC

**katiba haitekelezeki leo Raila anawaambia watu wajiandae na Referendum.
*** Katiba mpya imeongeza ukubwa wa Serikali (kaunti 47) na vyeo vya kumwaga kwa makada watiifu
 
Au ingejenga Reli ya SGR kilomita 400
ndio maana 200km zinewashinda hamna hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ujinga wenu ni kwamba huwa hamna taarifa za kutosha kuhusu Tanzania,wakati sisi tuna data zote na wengi wetu tuliwahi kusoma huko tunawajua vizuri sana,wewe endelea kujichimbia hapo Embu.

Reli Dar -Moro ipo 85%

Moro - Dodoma ipo 40% na hatujakopa mpaka hatua hiyo
 
Magufuli akimaliza mitano tena tutawaazima
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tukishaingia pale Jukwaa la siasa Kila kitu kuhusu Tanzagiza kinakuwa wazi.
 
Uhuru kazinduka kawapa likizo ya siku 14 Viongozi waandamizi wa Serikali (CS, PS, CAS)
 

Attachments

  • Screenshot_2020-08-15-23-54-50-72.png
    122.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…