Mimi bora Kenyan police washafika hapo, I don't have anything to worry. Watapewa tu dozi pole pole. Dozi ya asubuhi kiboko, achana kiboko na jioni kiboko😂Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Police wetu waingie Kenya kutafuta nini?Your policemen can't come back after what happened to them yesterday.
Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
The scene was at the border my friend. Today Kenyan police are even navigating hadi kwa boma za watanzania.Police wetu waingie Kenya kutafuta nini?
Msikilize huyo mama na huyo dereva boda anavyolilia Tanzania
Wanakiri wazi Tanzania ndio inawafanya waishi, mahitaji yote wanategemea kutoka Tanzania and everything
Ninyi ndio mnaathirika sio Tanzania na Tanzania imefunga mpaka lakini haijamshurutisha wala kumnyanyasa raia yeyote wa kenya aliopo huku, hiki hao vichaa wenu ndani ya uniforms wanachokifanya ndio kitatafsiriwa kama msimamo wa serikali yenu.
Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.The scene was at the border my friend. Today Kenyan police are even navigating hadi kwa boma za watanzania.
Njaa ipi hiyo wewe Nyang'au. Sikiliza Mama wa Kenya hapo kwenye hiyo YouTube akilia lockdown itawaua ndani maana wanawstegemea Tanzania kwa kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Those your coward policemen can't even try to step into Kenyan soil. Kama jana pekee ndio walitoroka na ni kwao so why do you think they can try beating their chest in Kenyan soil?Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.
Tanzania huwa ni ya mwisho kabisa kufanya maamuzi, hstukurupuki wala kufuata mkumbo, na kwenye hili maamuzi tutayatoa siku wala sio nyingi.
Kwani kuna vita?Those your coward policemen can't even try to step into Kenyan soil. Kama jana pekee ndio walitoroka na ni kwao so why do you think they can try beating their chest in Kenyan soil?
Ok, now go back to the clip and watch how your men are receiving proper beatings.Kwani kuna vita?
Hakuna police wa Tanzania anaweza kuingia Kenya bila sababu nyeti sana na hakuna police wa Tanzania anaemuogopa takataka yeyote ya Kenya ikionekana inahujumu sheria ndani ya Jamuhuri ya Mungano ambayo amepewa kimamlaka kuisimamia na kulinda watanzania na Mali zao, huyo police hatuna.
Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.
Tanzania huwa ni ya mwisho kabisa kufanya maamuzi, hstukurupuki wala kufuata mkumbo, na kwenye hili maamuzi tutayatoa siku wala sio nyingi.
LOL kumbe na wewe umeshtukia chezo,He is bluffing..hakuna askari wa Kenya alievuka boda kufata mtu TZ. Hiyo ni mbinu ya kitoto kutafuta provocation hapa JF.
Hicho ki eletronic army cha Kenya ni dhaifu sana, wanaleta propaganda za kitoto.