Kenya Police are now chasing and Arresting Tanzanians at the border

Kenya Police are now chasing and Arresting Tanzanians at the border

The scene was at the border my friend. Today Kenyan police are even navigating hadi kwa boma za watanzania.
Kama wamefanya hivyo hao askari ni wapuuzi. Mpuuzi zaidi ni wewe ambaye unashangilia askari wa taifa jingine kuingia eneo ambalo hana mamlaka nalo na kuchapa watu.

Mfano tukaingia kwenye vita baridi, nafikiri kenya itakua vulnerable hata kwa Al Shabab. Too stupid to see that.
 
Kama wamefanya hivyo hao askari ni wapuuzi. Mpuuzi zaidi ni wewe ambaye unashangilia askari wa taifa jingine kuingia eneo ambalo hana mamlaka nalo na kuchapa watu.

Mfano tukaingia kwenye vita baridi, nafikiri kenya itakua vulnerable hata kwa Al Shabab. Too stupid to see that.
I can understand your anger. Are you one of the victims of that beating at the border.
 
Ok, now go back to the clip and watch how your men are receiving proper beatings.
Sioni cha kushadadia hapo
Police wenye bunduki na risasi kumnyanyasa raia dhaifu ambaye hajakaidi amri yoyote, huo ni uoga uliopindukia.

Mlitakiwa mfanye hivyo kule Somalia mnapopata kibano kila leo
 
Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Nyie ni kama wajerumani mnakufa na tai shingoni, mna njaa ila mnajitutumua
 
Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.

Tanzania huwa ni ya mwisho kabisa kufanya maamuzi, hstukurupuki wala kufuata mkumbo, na kwenye hili maamuzi tutayatoa siku wala sio nyingi.
Wacha unafiki wewe, wangelifanya polisi wa tanzania hvo mngelifungua nyuzi nyingi hapa kuwaponda polisi wa kenya..
Unafikiria kwan hatuwajui, yakiwakuta ndio mnajitia eti mna hekma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL kumbe na wewe umeshtukia chezo,

Hiyo clip imerikodiwa purposely kama backfire flani hivi, lakini ipo kishamba sana sababu Tanzania imetarget malori yao lakini wenyewe wameenda kwa innocent people

Actually wakenya ni washamba and very cowards by nature.
Innocent peaople na wakati wanataka kuingia kenya, wabaki uone km watasumbuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mk254, unakumbuka zile picha za wale majeshi sijui wasomalia zilizosambaa mtandaoni kule mandera ya kwamba wanapiga doria kenya..
Watanzania walikejeli sana na kusema eti kenya ni jeshi dhaifu..
Vile sai imewatokea wao wanajitia eti wao wana busara san[emoji23][emoji23][emoji23]

Kenya police piga watu bakora hakuna cha kubembelezana, we kwenu kuna chakula unang'ang'ania nn kuingia sehemu ya njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa mathalan ukiangalia msingi wa hii operation yao haina mashiko kabisa

Sababu sioni kama hao raia wamevunja sheria yoyote ya immigration upande wa Kenya sababu wapo katika shughuli zao za kawaida kama ilivyo desturi yao muda wote

Unless waliwapa notice waondoke nchini Kenya by the failure of qualifying some requirements stated in the specified terms and duration

Sasa sidhani kama walipewa prior alerts earlier sasa wameona wameshindwa kutekeleza ndio adhered measures are practiced now, ni upumbavu wa hali ya juu.

Wameshafeli kabla ya kuanza. Wamebaki kuweweseka na kutapa tapa tu.
 
Kumenuka, Kenya police is doing what they best at. Arresting and canning without listening to your excuses. But this time round, mashetani zao zimewaambia waende wapige vijana rungu Tanzania


Kwahiyo mmejiridhisha upande wa border ya Tanzania hamna mkenya aliebakia huko,maana hii tukiamua kuhit back vilio vyake vitakua sio kidogo
 
Kwenye hiyo clip mkenya ndio kalalamika njaa,utosikia kamwe mtanzania analilia chakula kutoka kwenu
Jameni tulieni huko kwenu kwa sasa, mbona mnatupa tabu hivi....vumilieni njaa hata wiki mbili tu mambo yatarudi kama kawaida.
 
Police wetu waingie Kenya kutafuta nini?

Msikilize huyo mama na huyo dereva boda anavyolilia Tanzania

Wanakiri wazi Tanzania ndio inawafanya waishi, mahitaji yote wanategemea kutoka Tanzania and everything

Ninyi ndio mnaathirika sio Tanzania na Tanzania imefunga mpaka lakini haijamshurutisha wala kumnyanyasa raia yeyote wa kenya aliopo huku, hiki hao vichaa wenu ndani ya uniforms wanachokifanya ndio kitatafsiriwa kama msimamo wa serikali yenu.
Uko sure Tanzania hamko affected? Kuna mtanzania mmoja nimeona kwa thread flani ana uchungu ameenda hasara ya nyanya lory nzima baada ya lory lake kurudishwa, what about wakulima na wafanyibiashara kama hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sure Tanzania hamko affected? Kuna mtanzania mmoja nimeona kwa thread flani ana uchungu ameenda hasara ya nyanya lory nzima baada ya lory lake kurudishwa, what about wakulima na wafanyibiashara kama hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
bado anayo option ya kuuza ndani ya nchi, ninyi wale retailers kwenye stalls huko masokoni Kenya wataishije?
 
Imagine if magufuli could talk to kenyatta and coordinate some of these things, none of this shit would happen.....but one of those men does not want to talk to the other and this is the result
 
Back
Top Bottom