Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kama wamefanya hivyo hao askari ni wapuuzi. Mpuuzi zaidi ni wewe ambaye unashangilia askari wa taifa jingine kuingia eneo ambalo hana mamlaka nalo na kuchapa watu.The scene was at the border my friend. Today Kenyan police are even navigating hadi kwa boma za watanzania.
Mfano tukaingia kwenye vita baridi, nafikiri kenya itakua vulnerable hata kwa Al Shabab. Too stupid to see that.