Kenya Police are now chasing and Arresting Tanzanians at the border

Yesterday Tanzanian police officers were throwing Teargass na kujificha instead of confronting Kenyan police.
 
Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
 
Mimi bora Kenyan police washafika hapo, I don't have anything to worry. Watapewa tu dozi pole pole. Dozi ya asubuhi kiboko, achana kiboko na jioni kiboko😂
 
Your policemen can't come back after what happened to them yesterday.
Police wetu waingie Kenya kutafuta nini?

Msikilize huyo mama na huyo dereva boda anavyolilia Tanzania

Wanakiri wazi Tanzania ndio inawafanya waishi, mahitaji yote wanategemea kutoka Tanzania and everything

Ninyi ndio mnaathirika sio Tanzania na Tanzania imefunga mpaka lakini haijamshurutisha wala kumnyanyasa raia yeyote wa kenya aliopo huku, hiki hao vichaa wenu ndani ya uniforms wanachokifanya ndio kitatafsiriwa kama msimamo wa serikali yenu.
 
Njaa ipi hiyo wewe Nyang'au. Sikiliza Mama wa Kenya hapo kwenye hiyo YouTube akilia lockdown itawaua ndani maana wanawstegemea Tanzania kwa kila kitu.
Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu Kama inaweza kuleta shida,,watanzania hamna haja kulazimisha kuingia nchi za watu,Kama wanalazimisha kupima acheni,fanyeni Mambo mengine
 
Police wetu waingie Kenya kutafuta nini?

Msikilize huyo mama na huyo dereva boda anavyolilia Tanzania

Wanakiri wazi Tanzania ndio inawafanya waishi, mahitaji yote wanategemea kutoka Tanzania and everything

Ninyi ndio mnaathirika sio Tanzania na Tanzania imefunga mpaka lakini haijamshurutisha wala kumnyanyasa raia yeyote wa kenya aliopo huku, hiki hao vichaa wenu ndani ya uniforms wanachokifanya ndio kitatafsiriwa kama msimamo wa serikali yenu.
The scene was at the border my friend. Today Kenyan police are even navigating hadi kwa boma za watanzania.
 
Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.

Tanzania huwa ni ya mwisho kabisa kufanya maamuzi, hstukurupuki wala kufuata mkumbo, na kwenye hili maamuzi tutayatoa siku wala sio nyingi.
 
Njaa ipi hiyo wewe Nyang'au. Sikiliza Mama wa Kenya hapo kwenye hiyo YouTube akilia lockdown itawaua ndani maana wanawstegemea Tanzania kwa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jameni tulieni huko kwenu kwa sasa, mbona mnatupa tabu hivi....vumilieni njaa hata wiki mbili tu mambo yatarudi kama kawaida.
 
Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.

Tanzania huwa ni ya mwisho kabisa kufanya maamuzi, hstukurupuki wala kufuata mkumbo, na kwenye hili maamuzi tutayatoa siku wala sio nyingi.
Those your coward policemen can't even try to step into Kenyan soil. Kama jana pekee ndio walitoroka na ni kwao so why do you think they can try beating their chest in Kenyan soil?
 
Wamekazana kuja Kenya sijui wanataka nini huku?
 
Debe tupu hupiga kelele. Watanzania tukiwakamata hatuna kelele tunawaonea huruma maskini weeee mna njaa sana
 
Those your coward policemen can't even try to step into Kenyan soil. Kama jana pekee ndio walitoroka na ni kwao so why do you think they can try beating their chest in Kenyan soil?
Kwani kuna vita?
Hakuna police wa Tanzania anaweza kuingia Kenya bila sababu nyeti sana na hakuna police wa Tanzania anaemuogopa takataka yeyote ya Kenya ikionekana inahujumu sheria ndani ya Jamuhuri ya Mungano ambayo amepewa kimamlaka kuisimamia na kulinda watanzania na Mali zao, huyo police hatuna.
 
Ok, now go back to the clip and watch how your men are receiving proper beatings.
 
Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.

Tanzania huwa ni ya mwisho kabisa kufanya maamuzi, hstukurupuki wala kufuata mkumbo, na kwenye hili maamuzi tutayatoa siku wala sio nyingi.

He is bluffing..hakuna askari wa Kenya alievuka boda kufata mtu TZ. Hiyo ni mbinu ya kitoto kutafuta provocation hapa JF.

Hicho ki eletronic army cha Kenya ni dhaifu sana, wanaleta propaganda za kitoto.
 
LOL kumbe na wewe umeshtukia chezo,

Hiyo clip imerikodiwa purposely kama backfire flani hivi, lakini ipo kishamba sana sababu Tanzania imetarget malori yao lakini wenyewe wameenda kwa innocent people

Actually wakenya ni washamba and very cowards by nature.
 
Back
Top Bottom