Kama wamefanya hivyo hao askari ni wapuuzi. Mpuuzi zaidi ni wewe ambaye unashangilia askari wa taifa jingine kuingia eneo ambalo hana mamlaka nalo na kuchapa watu.The scene was at the border my friend. Today Kenyan police are even navigating hadi kwa boma za watanzania.
I can understand your anger. Are you one of the victims of that beating at the border.Kama wamefanya hivyo hao askari ni wapuuzi. Mpuuzi zaidi ni wewe ambaye unashangilia askari wa taifa jingine kuingia eneo ambalo hana mamlaka nalo na kuchapa watu.
Mfano tukaingia kwenye vita baridi, nafikiri kenya itakua vulnerable hata kwa Al Shabab. Too stupid to see that.
Sioni cha kushadadia hapoOk, now go back to the clip and watch how your men are receiving proper beatings.
Nyie ni kama wajerumani mnakufa na tai shingoni, mna njaa ila mnajitutumuaHivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Am not angry, they hit like gays so nothing serious.I can understand your anger. Are you one of the victims of that beating at the border.
Wacha unafiki wewe, wangelifanya polisi wa tanzania hvo mngelifungua nyuzi nyingi hapa kuwaponda polisi wa kenya..Na wewe unaona hilo ni sawa police wa Taifa moja kuingia Taifa lingine kutoa commands? Hilo sio sawa kabisa hata kama police wetu wangefanya hivyo.
Tanzania huwa ni ya mwisho kabisa kufanya maamuzi, hstukurupuki wala kufuata mkumbo, na kwenye hili maamuzi tutayatoa siku wala sio nyingi.
Innocent peaople na wakati wanataka kuingia kenya, wabaki uone km watasumbuliwaLOL kumbe na wewe umeshtukia chezo,
Hiyo clip imerikodiwa purposely kama backfire flani hivi, lakini ipo kishamba sana sababu Tanzania imetarget malori yao lakini wenyewe wameenda kwa innocent people
Actually wakenya ni washamba and very cowards by nature.
Ni kweli kabisa mathalan ukiangalia msingi wa hii operation yao haina mashiko kabisa
Sababu sioni kama hao raia wamevunja sheria yoyote ya immigration upande wa Kenya sababu wapo katika shughuli zao za kawaida kama ilivyo desturi yao muda wote
Unless waliwapa notice waondoke nchini Kenya by the failure of qualifying some requirements stated in the specified terms and duration
Sasa sidhani kama walipewa prior alerts earlier sasa wameona wameshindwa kutekeleza ndio adhered measures are practiced now, ni upumbavu wa hali ya juu.
Kwahiyo mmejiridhisha upande wa border ya Tanzania hamna mkenya aliebakia huko,maana hii tukiamua kuhit back vilio vyake vitakua sio kidogoKumenuka, Kenya police is doing what they best at. Arresting and canning without listening to your excuses. But this time round, mashetani zao zimewaambia waende wapige vijana rungu Tanzania
Jameni tulieni huko kwenu kwa sasa, mbona mnatupa tabu hivi....vumilieni njaa hata wiki mbili tu mambo yatarudi kama kawaida.
Mara hii lazima mechi ya kirafiki ihusike, hzo sifa zenu za kijinga za chakula tuone kama zitaishia wapi...Kwahiyo mmejiridhisha upande wa border ya Tanzania hamna mkenya aliebakia huko,maana hii tukiamua kuhit back vilio vyake vitakua sio kidogo
Wamekazana kuja Kenya sijui wanataka nini huku?
Uko sure Tanzania hamko affected? Kuna mtanzania mmoja nimeona kwa thread flani ana uchungu ameenda hasara ya nyanya lory nzima baada ya lory lake kurudishwa, what about wakulima na wafanyibiashara kama hao?Police wetu waingie Kenya kutafuta nini?
Msikilize huyo mama na huyo dereva boda anavyolilia Tanzania
Wanakiri wazi Tanzania ndio inawafanya waishi, mahitaji yote wanategemea kutoka Tanzania and everything
Ninyi ndio mnaathirika sio Tanzania na Tanzania imefunga mpaka lakini haijamshurutisha wala kumnyanyasa raia yeyote wa kenya aliopo huku, hiki hao vichaa wenu ndani ya uniforms wanachokifanya ndio kitatafsiriwa kama msimamo wa serikali yenu.
bado anayo option ya kuuza ndani ya nchi, ninyi wale retailers kwenye stalls huko masokoni Kenya wataishije?Uko sure Tanzania hamko affected? Kuna mtanzania mmoja nimeona kwa thread flani ana uchungu ameenda hasara ya nyanya lory nzima baada ya lory lake kurudishwa, what about wakulima na wafanyibiashara kama hao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachezewa tu hao polisi washaonekana mapoyoyo, watoto wanapenda michezo na kubwa jingaInnocent peaople na wakati wanataka kuingia kenya, wabaki uone km watasumbuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe noma while balozi wenu kaongea na media muda si mrefu,unadhani kajiamulia tu kuongeaMara hii lazima mechi ya kirafiki ihusike, hzo sifa zenu za kijinga za chakula tuone kama zitaishia wapi...
Km noma na iwe noma
Sent using Jamii Forums mobile app