Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Mbona uhondo ukanipita hio ya Jana ipo wapi sijaiona?.Your policemen can't come back after what happened to them yesterday.
Mlipofungia van zetu zisiingie jkia nasi tulipoifanyizia kq trip za TZ siku ya pili mkataka mapatano,yan ndio kama hii,huyu balozi wenu leo alikua anaongea mpaka anatia huruma,always tukihit back lazima mje kwa magoti,nasubiria polisi wa TZ tu nao wakianza kufanya wanachofanya polisi wenu nione mtakuja kulia vipiNonsense.
Hahaha!!mtu mjinga kucheza naye akili sikj zoteIwe noma while balozi wenu kaongea na media muda si mrefu,unadhani kajiamulia tu kuongea
Ni kweli ili nawao watandikwe ikibidiHii ni madharau sana ,polisi wa Kenya kuvuka mpaka na kuja kukamata watu Tanzania.Ni vizuri kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya maana polisi wa Kenya wanasababisha vurugu.
Toa maelezo yanayoeleweka basi mbona imekaa kichochezi.
Umemsikia rais wako?Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Wanataka tukufe pamoja na waoHivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Tuliwaambia hata hiyo ikulu ya Dar tunaingia bila kuzuiliwa na mtu...jeshi la polisi tu πππNaona utopo mtupu
Monkeys at their finest intelligent
lakini nyinyi watu ni wajinga sana leo nimeamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Tuliwaambia hata hiyo ikulu ya Dar tunaingia bila kuzuiliwa na mtu...jeshi la polisi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
tanzania is a ticking time bomb,the situation is getting out of hand,who in his right mind would approach this pandemic like kufuli,the best we can do as kenyans is to live them to their own devices and close our borders.Imagine if magufuli could talk to kenyatta and coordinate some of these things, none of this shit would happen.....but one of those men does not want to talk to the other and this is the result
tanzania imekuwa bingwa wa medani za kijasusi kwa kipindi kirefu sana ukanda huu,hata hao mabuda wanafahamu vyema.Magufuli peleka kikosi cha jeshi mpakani.. Naona hawa wajinga wanacheza na akili za watu
Hivi Kenya kuna majasusi naona kuna mabumunda tutanzania imekuwa bingwa wa medani za kijasusi kwa kipindi kirefu sana ukanda huu,hata hao mabuda wanafahamu vyema.
hawezi chezea matope na mtoto mdogo.