Kenya Police are now chasing and Arresting Tanzanians at the border

Kenya Police are now chasing and Arresting Tanzanians at the border

Nonsense.
Mlipofungia van zetu zisiingie jkia nasi tulipoifanyizia kq trip za TZ siku ya pili mkataka mapatano,yan ndio kama hii,huyu balozi wenu leo alikua anaongea mpaka anatia huruma,always tukihit back lazima mje kwa magoti,nasubiria polisi wa TZ tu nao wakianza kufanya wanachofanya polisi wenu nione mtakuja kulia vipi
Screenshot_20200519-150316_Twitter.jpg
 
Hii ni madharau sana ,polisi wa Kenya kuvuka mpaka na kuja kukamata watu Tanzania.Ni vizuri kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya maana polisi wa Kenya wanasababisha vurugu.
 
Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Umemsikia rais wako?

Naomba poo
 
Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Wanataka tukufe pamoja na wao
 
Mod aliyeleta uzi wangu kwenye hili jukwaa akaunganisha ni utopolo
 
Tuliwaambia hata hiyo ikulu ya Dar tunaingia bila kuzuiliwa na mtu...jeshi la polisi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
lakini nyinyi watu ni wajinga sana leo nimeamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


kwahiyo mnajuaje huyu ni mkenya huyu mtz kwa kukimbiza watu hapo kama kuku ya sikukuu??

tuliiashawaambia katika nyanja za kutumia akili tuliisha waacha na mnajua hilo,tumeshika waandishi 2 tu wa habari kwa kiherehere chao,mmejaa tayari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine if magufuli could talk to kenyatta and coordinate some of these things, none of this shit would happen.....but one of those men does not want to talk to the other and this is the result
tanzania is a ticking time bomb,the situation is getting out of hand,who in his right mind would approach this pandemic like kufuli,the best we can do as kenyans is to live them to their own devices and close our borders.
 
Magufuli peleka kikosi cha jeshi mpakani.. Naona hawa wajinga wanacheza na akili za watu
tanzania imekuwa bingwa wa medani za kijasusi kwa kipindi kirefu sana ukanda huu,hata hao mabuda wanafahamu vyema.

hawezi chezea matope na mtoto mdogo.
 
Back
Top Bottom