Kenya Police are now chasing and Arresting Tanzanians at the border

Hivi Kenya kuna majasusi naona kuna mabumunda tu
majasusi wenyewe ndio design ya hwa wauza mabumunda tunabishana nao hapa wakishangiria polisi kuvuka boda wakikimbiza wahamiaji[emoji16][emoji16].

wanasema ukitaka kuona nchi imestaarabika kiasi gani angalia vyombo vya dora yake vimestaarabika kiasi gani???kama polisi wako hivyo unadhani kuna chombo kingine cha serikali kinatumia akili na utaalam tena!!!!

rais mpaka anatoa maamuzi ya ghetto,watu hawajui hata madhara yatakayokuja kutokea!!!!no whonder alshabaab wanajipigia tu,sorry to say tha truth.
 
Ukimuambia aseme Corona anasema Colona πŸ˜‚πŸ˜‚ hivyo ndivyo tunatofautisha.
 
Unakumbuka ng'ombe na vifaranga tulicho fanya TZ uwa hatukulupuki kama NYUMBU endelea kujinadi!
 
Ni kweli
 
Ukimuambia aseme Corona anasema Colona [emoji23][emoji23] hivyo ndivyo tunatofautisha.
nado moja,ukiona anaugua corona anakaa kama kifaranga kilicholoa ujue huyo ni mkenya,ila ukuona corota test +ve na linadunda tu ujue ni mbongo.

hao polisi hata wamesahau corona pia itawashika kwa kupewa na watz.
 
Hivi mbona Watanzania wanalazimishia kuingia Kenya kwa kung'ang'ania, mbona wasifuate taratibu zilizopo za kupimwa kwanza, kwani mna njaa ya aina gani hii hadi mumeamua mtuletee Corona bila kujali au kujijali.
Nchi ya maziwa na asali.
 
Imagine if magufuli could talk to kenyatta and coordinate some of these things, none of this shit would happen.....but one of those men does not want to talk to the other and this is the result
Why would our President talk to Kenyatta?While we have strong institutions working on both sides?
We have our means and stand on the way we opted fighting war against the Covid 19, the same to our neighbors they have chosen own path, every part should respect another stand period.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliwaambia hata hiyo ikulu ya Dar tunaingia bila kuzuiliwa na mtu...jeshi la polisi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmepigana Vita ngapi mkashinda?
Si tumeshinda vita zote, mpaka South Africa tumesaidia Liberation.
Nyie mmefanya nini?
Somalia tu imewashinda!!
Jiulize Al shabab kwanini anaogopa kuja hapa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmepigana Vita ngapi mkashinda?
Si tumeshinda vita zote, mpaka South Africa tumesaidia Liberation.
Nyie mmefanya nini?
Somalia tu imewashinda!!
Jiulize Al shabab kwanini anaogopa kuja hapa?


Sent using Jamii Forums mobile app
Bro wacha nikufunze kiasi uwache kurely on vijiweni chronicles;

1. Invasion of Anjuan, Comoros 2008
from Sudan, Tanzania, Senegal, along with logistical support from Libyaand France.
2. Kagera War 1978-1979
Uganda, Angola, Ethiopia, Mozambique and Tanzania
3. Mozambique liberation 1964 - 1974
Algeria, USSR, Somalia, Angola, Zambia ,Egypt etc

Ni wapi TPDF iliingia peke yake na kushinda Vita peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…