mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
majasusi wenyewe ndio design ya hwa wauza mabumunda tunabishana nao hapa wakishangiria polisi kuvuka boda wakikimbiza wahamiaji[emoji16][emoji16].Hivi Kenya kuna majasusi naona kuna mabumunda tu
wanasema ukitaka kuona nchi imestaarabika kiasi gani angalia vyombo vya dora yake vimestaarabika kiasi gani???kama polisi wako hivyo unadhani kuna chombo kingine cha serikali kinatumia akili na utaalam tena!!!!
rais mpaka anatoa maamuzi ya ghetto,watu hawajui hata madhara yatakayokuja kutokea!!!!no whonder alshabaab wanajipigia tu,sorry to say tha truth.