KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

October 10, 2017
Nairobi, Kenya

The Big Question | Fresh Poll Crisis [HASHTAG]#TheBigQuestion[/HASHTAG]
A panel of lawyers: Charles Nyachae, Willis Otieno, Gladys Shollei and Edwin Sifuna all try to answer for us a big question, what it means legally the withdrawal of NASA presidential candidate Raila Amolo Odinga from the 26th October election

Source: Kenya CitizenTV
 
Itakumbukwa kuwa CHADEMA walishobokea sana kuwa CUF ilikuwa sahihi kugomea uchaguzi wa marudio kwa kutokuwa na imani na TUME ya JECHA.Sasa kimwinuka Kenya Raila ODINGA kama ilivyokuwa kwa seif wa CUF kasusa uchaguzi wa marudio kenya kwa ajili ya matatizo ya tume ya uchaguzi.CHADEMA toeni tamko basi mnaonaje ? NINI maoni yenu kwenye yote mawili.Mnasimamia wapi kama chama?
 
Kenya naionea huruma sana ni nchi ambayo inanafasi kubwa ya kushoot(kutoboa) kimaendeleo lakin siasa ndio zitakayourudisha nyuma sana na wakicheza TZ itawapiga overtake ya nguvu
 
Itakumbukwa kuwa CHADEMA walishobokea sana kuwa CUF ilikuwa sahihi kugomea uchaguzi wa marudio kwa kutokuwa na imani na TUME ya JECHA.Sasa kimwinuka Kenya Raila ODINGA kama ilivyokuwa kwa seif wa CUF kasusa uchaguzi wa marudio kenya kwa ajili ya matatizo ya tume ya uchaguzi.CHADEMA toeni tamko basi mnaonaje ? NINI maoni yenu kwenye yote mawili.Mnasimamia wapi kama chama?
Sina shaka wanasimama upande wanaouunga mkono.

Demokrasia nayo ikishamiri sana inaongeza gharama. Court imeamuru uchaguzi urudiwe, pesa mingi imeendelea kutumika kuandaa uchaguzi, siku chache kabla ya uchaguzi, mgombea mmoja anasusia, hii ni some sort of sabotage (Musonye, n.d.).

Kwa maoni yangu sioni sababu ya kuendelea na uchaguzi zaidi ya kumuapisha Uhuru Kenyatta kuendelea na wadhifa wake alionao.

Kwa nchi zetu za Kiafrika bado tuko nyuma sana, tuendelee kukataza matokeo ya urasi kuhojiwa Mahakamani.
 
Big up
Raila kama tume iliyoprove failure ya last election haitaki kuwajibika basi iachiee ifanyw itakavyo
 
Sina shaka wanasimama upande wanaouunga mkono.

CHADEMA wakiunga mkono Kenyatta kutangazwa mshindi pekee baada ya Raila kususa uchaguzi wa marudio CHADEMA PIA wanatakiwa pia waunge mkono dk Shein wa ZANZIBAR kutangazwa mshindi baada ya seif sharrif Hamad kususa.CHADEMA MPOOOOOOO!!!! Mnaona madhara yenu ya kukosa misimamo na kubadili gia angani? Mngesimama na RAILA odinga mngekuwa na msimamo ule ule wa kulaani tume ya uchaguzi ZANZIBAR na kulaaani tume ya uchaguzi Kenya kwa makosa waliyofanya!!! Lakini CHADEMA kwa sasa imekaa kama mizobezobe tu!!!
 
Tume ye yote ya uchaguzi mahali po pote hasa Africa haiwezi kuwa huru iwapo itateuliwa na wanaogombea madaraka. Haiwezekani Milele. Labda tume ziteuliwe kutoka nchi nyingine kama marefa wanavyoteuliwa kusimamia michezo nchi ambazo hawakutoka.
 
Hawakatazwi kuandamana kwa mujibu wa katiba.
Labda kama kuna katiba ya Kenya yatofauti iliyopo ICC
We huoni kama Odinga ni kigeugeu mkuu,,;mara uchaguzi haukuwa halali, ,mara sasaivi amegomea kabisa uchaguzi wenyewe
 
[HASHTAG]#BREAKINGNEWS[/HASHTAG] Raila Odinga ajiondoa kugombea urais wa Kenya, kwenye uchaguzi wa marudio unaotarajiwa kufanyika Oktoba 26, 2017



CHANZO EATV


Yaonekana kujiondoa kwake hakusimamishi uchaguzi kufanya 26/10/2017 kwa sababu wamebaki manjemba wawili baada ya Mhe Raila kuachia manyanga yaani Mhe Uhuru wa Jubilee na Ekuru wa chama kimoja kidogo ila kwa sasa kitanyanyuka zaidi. Shukra kwa Raila kujiondoa na kuacha ushindani kwa wawili badala ya watatu. Kufa kufaana hivo.
 
Kwa nilivyomuelewa mm Raila Odinga ana haki ya kujitoa coz tume iliyoharibu uchunguzi haikubadilishwa
 
All in all, time will tell😎 ........let's wait and see
 
Which one will you take out for dinner, Daughters of Raila or Jubilee Brigade???
DL1nf_fU8AAiBPD.jpeg
 
Back
Top Bottom