Sina shaka wanasimama upande wanaouunga mkono.Itakumbukwa kuwa CHADEMA walishobokea sana kuwa CUF ilikuwa sahihi kugomea uchaguzi wa marudio kwa kutokuwa na imani na TUME ya JECHA.Sasa kimwinuka Kenya Raila ODINGA kama ilivyokuwa kwa seif wa CUF kasusa uchaguzi wa marudio kenya kwa ajili ya matatizo ya tume ya uchaguzi.CHADEMA toeni tamko basi mnaonaje ? NINI maoni yenu kwenye yote mawili.Mnasimamia wapi kama chama?
Sina shaka wanasimama upande wanaouunga mkono.
Tumesha kufahsmu kwa njuzi zako, sasa CHADEMA kwenye hii thread imeingiajeUkabila unaingiaje sasa hapo?
Au unawaza ukabila tu kila wakati?
We huoni kama Odinga ni kigeugeu mkuu,,;mara uchaguzi haukuwa halali, ,mara sasaivi amegomea kabisa uchaguzi wenyeweHawakatazwi kuandamana kwa mujibu wa katiba.
Labda kama kuna katiba ya Kenya yatofauti iliyopo ICC
[HASHTAG]#BREAKINGNEWS[/HASHTAG] Raila Odinga ajiondoa kugombea urais wa Kenya, kwenye uchaguzi wa marudio unaotarajiwa kufanyika Oktoba 26, 2017
CHANZO EATV