Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alionekana kutotaka marudio toka kitambo
Kama hana imani na tume basi kafanya jambo jema [kama habari ni ya kweli].
Huku kwetu CHADEMA huwa wanashiriki chaguzi za NEC halafu wakishindwa wanaanza kudai tume haiko huru.
Nimeshasema mara milioni kidogo humu kuwa NEC haiwezi kuwa huru endapo uongozi wake unaundwa na mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndo rais na ambaye ni mshiriki wa uchaguzi.Wewe unavyoona NEC iko huru..?
Huyu jamaa ana shida sana.. Inafika wakati anatakiwa aangalie maslahi ya nchi kwanza.. Hebu aache mambo yake maisha yaendelee..