KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

e24084f3a46191010052bdaf6f96bbd0.jpg


Tunaelekea huku
 
A very wise decision. But I thought they would have designated another one rather than the unpopular Kalonzo. There isn't much time enough to popularize Kalonzo. So, Uhuruto are back, me thinks.
 
Wewe unavyoona NEC iko huru..?
Nimeshasema mara milioni kidogo humu kuwa NEC haiwezi kuwa huru endapo uongozi wake unaundwa na mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndo rais na ambaye ni mshiriki wa uchaguzi.

Leo narudia kusema kwa mara ya milioni mbili kuwa NEC haipo huru. Umeelewa?

Sasa kama haiko huru kwa nini wapinzani washiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?

Alichofanya Raila ni sahihi kabisa na natamani kuona wapinzani wa TZ wakikifanya pia.
 
Rather than demonize Kenyatta, he should have used the opportunity to call his supporters right away to vote for Kalonzo unconditionally. He should have said that Kalonzo will fulfill his programme and the aspirations of the Kenyans and that he has full confidence in him, he is not a tribalist and all Kenyan under him will have a fair deal. He would have continued to remind the Kenyans of his party's manifesto etc etc etc. Why politicians are .......maliza mwenyewe.
 
Huyu jamaa ana shida sana.. Inafika wakati anatakiwa aangalie maslahi ya nchi kwanza.. Hebu aache mambo yake maisha yaendelee..

Ingalikuwa ni uamuzi mbovu sana kushiriki na IEBC hii. Kama alivosema Nyani Ngabu, this is the only way.

The constitution is clear on what next.
 
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi hu.

Bwana Odinga anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu

Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.

Source: BBC Swahili
 
Ila Mahakama nayo Imechemsha,
Waliovuruga Uchaguzi wako humohumo bado ndani ya Tume, Kutakua na uhakika gani kua hawatovuruga tena??
Why wasingesubiri kwanza mpaka tume ya Uchaguzi ifanyiwe marekebisho??
 
Back
Top Bottom