ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kipi ambacho Rostam hajawahi semwa na bado ana dunda?Sasa huyo 'Samjo Samjo' Rostam Aziz akitema hayo Madini kwa Kuongea hivyo hapo Ukumbini Nairobi 'Practically' ina Tija ipi ( gani ) kwa Maendeleo ya Tanzania yetu hii?
Usitake tu Kutulazimisha tuseme yake.
Ni Mpumbavu Mwenzako huyo au hujui?Kuna mtu kamtukana Mtusi Kagame kwenye thead huko juu🤣
Nina imani, nchi yetu ipo kwenye njia sahihi baada ya kupotezwa kwa miaka mitano.
Tukazanie kujenga mifumo itakayozuia Taifa kuangukia kwenye uongozi wa watu wasio na uwezo. Mifumo iwezeshe, akitokea kiongozi wa hovyo, kuwe na utaratibu rahisi wa kumwondoa.
Fikirieni miaka mitano tuliyokosa uongozi sahihi, hasara kubwa tuliyoipata kwa sekta mbalimbali. Na ikumbukwe kulikuwa na hatari ya nchi kuburutwa kwa miaka kumi, na pengine zaidi.
Naona umeshikwa hamu ya KUKALIA kitu JerambaNi Mpumbavu Mwenzako huyo au hujui?
Imbecile.Naona umeshikwa hamu ya KUKALIA kitu Jeramba
Kimburu shoggaImbecile.
Babaako....Kimburu shogga
🤣🖕Babaako....
Same to the one who gave birth to You.
Mnatukela na taarifa za marehemu naninyi mtakufa muda mfupiHayati alijenga mazingira wezeshi ya ukuzaji wa biashara. Kufufua reli iliyokufa zaidi ya miaka 25 ni ujenzi wa mazingira ya usafirishaji ambayo ni nyenzo muhimu kibiashara.
Ufufuaji wa shirika la ndege ni urahisishaji wa biashara kimataifa. Kama sio corona muda huu Air Tanzania ingekuwa kila wiki inakwenda China na kurudi kupeleka matikiti. Kama sio corona muda huu biashara ya maua ya Arusha ingeitumia sana Air Tanzania kuyapeleka Amsterdam na kwingineko.
Hayati hakutaka dharau kama zile za kipindi kile mamlaka ya anga ya Kenya kuzuia ndege zetu kisa corona halafu kukubali ziingie kwao ndege za US na UK ambako ugonjwa ulikuwa umepamba moto. Dharau ile ilijibiwa vizuri sana na TCAA kwa kuzuia ndege zao zisiingie nchini.
Tufanye biashara pamoja kwa kila hali lakini tuheshimiane, tusileteane dharau za kutaka kuburuzana.
Hakuna!Kipi ambacho Rostam hajawahi semwa na bado ana dunda?
Hapa Rostam nampinga kwa kiasi fulani, wajibu wa kutumia raw materials ni watanzania kuzalisha bidhaa bora ukiwa unalalamika unataka nani aje kuweka viwanda halafu kwa maneno ya Mama jana kuna wakenya wamewekeza zaidi ya kampuni 500 na kutengeneza ajira karibia alfu 56 wakati Tanzania wame invest kampuni 30 Kenya na kuzalisha ajira 2000 hivi sasa anahitaji usawa upi angekuwa specific. Kilimo tu ni ajira kubwa kwetu tukiweka nguvu za dhati katika kilimo hasa kilimo cha kisasa.Akina
Hicho kizungu chake uchwara ndio unaita akili?Rostamu kaongea vizuri sana. Kumbe yule jamaa yuko njema sana upstairs
Sikiliza tena, hujaelewaHicho kizungu chake uchwara ndio unaita akili?
Maana sijaona cha maana hapo zaidi ya mbwembwe za hapa na pale!
Angeweza tu kusema kwa maneno matatu kwamba TUFANYE BIASHARA KWA USAWA.
Maneno meeengii mara sijui coffee and tea!
Hivi unajua amewekeza Bilioni 50 kwenye Kiwanda cha Ngozi Morogoro au Unataka Kilimo cha mazao ndio upate amaniRostam kama Mtz, basi mbona hataki wekeza Tz kwenye kilimo ili atoe ajira, na kuwezesha kupata malighafi kwa ajili ya viwanda, ambavyo vitazalisha ajira na pia kuwezesha serikali kupata kodi na kuwezesha kuinua uchumi wa nchi.... kaazikweli kweli.