Kenya-raisi ajielezea alikotoa za kugawa fedha!

Kenya-raisi ajielezea alikotoa za kugawa fedha!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
nchini kenya kuna ishu ya raisi kujenga Kanisa ikulu, ila kilichonishangaza kama mtanzagiza ni kwamba raisi Ruto kasema anatumia fedha zake au kwa maana nyingine ameelezea alikozitoa fedha za kujengea Kanisa kwa maana kwenye bajeti haipo, sasa vs tanzagiza raisi kanunua magoli, kagawa fedha yanga sijui simba, milioni 100 KKKT, mamilioni sijui kwa maposa, mara baiskeli je, anazitoa wapi (raisi wa tanzagiza) hizo fedha anazogawa?

sioni bin fan wa wakenya na mambo yao lkn angalau raisi wao anawashemu kiasi cha kuweza kujieleza alipotoa fedha kujengea Kanisa …
 
tanzagiza raisi kanunua magoli, kagawa fedha yanga sijui simba, milioni 100 KKKT, mamilioni sijui kwa maposa, mara baiskeli je, anazitoa wapi (raisi wa tanzagiza) hizo fedha anazogawa?
Huyu mzanzibari kapewa kama hongo na wajomba zake waarabu aliowauzia bandari, Ngorongoro, madini na bahari kuu.
 
Back
Top Bottom