Mombasa haichekani na nairobi, juu zote wanakaa wakenya. Mkitaka iingie league za dar sawa ni juhudi tu wala sio dhambi.TZ is just operating at below their potential lakini instead of pulling up their socks wanaishi kulinganisha..
Niliiwaambia very soon tutakuwa tunalinganisha Dar na Mombasa.. Nairobi itakuwa league ingine.
then you wish to get there[emoji23][emoji23]Tanzania is the poorest country in East Africa, take that to the bank.
Sent using Jamii Forums mobile app
then you wish to get there[emoji23][emoji23]
Tangaza kenya bana au haiuziki, mpaka ipitie tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu ukumbuke kwamba Kenya bado kuna tishio la ugaidi na Tz ni kubwa karibia mara mbili ya Kenya na wana vivutio vingi vya utalii. Wavivu wamechanganyikiwa hawaitangazi nchi yao. Kazi kuiga na kuitizama Kenya. Hivi unajua kwamba ule wimbo wa 'Jambo Bwana' watz huwa wameuiga na wanautumia kuwakaribisha watalii kwenye mbuga zao? Ila sijui ile sehemu ya .....Kenya yetu hakuna matata... huwa wanaifanyia remix ya aina gani. π
U cant afford that.
So what..!Tanzania is the poorest country in East Africa, take that to the bank.
Sent using Jamii Forums mobile app
U cant afford that.
So where do IMF get its info[emoji4][emoji4][emoji4].Since the day the magufuli banned contradicting statistics from being published no one trusts any data from Tanzania.
Seriously even economic data from IMF,World Bank ,CIA differ..who is Magufuli to expect everyone to have same data.??
Blame your Supreme Leader, not me
So what..!
Utajiri wa Kenya umewasaidia nini kama mnashindwa kujilisha.
Sisi watanzania tunaamini wakenya wote ni matajiri kwa mujibu wa IMF, WB[emoji16][emoji16].So what..!
Utajiri wa Kenya umewasaidia nini kama mnashindwa kujilisha.
So where do IMF get its info[emoji4][emoji4][emoji4].
Wakora sana hawa nyang'au..πSisi watanzania tunaamini wakenya wote ni matajiri kwa mujibu wa IMF, WB[emoji16][emoji16].
Ndio maana wahanga wa njaa turkana, bado tunaona ni maigizo tu, mkenya hawezi kufa njaa bana.[emoji1787][emoji1787]
They may come with 2% next year.
They may come with 2% next year.
Those are IMF projections.
Buda sisi hatupiki data njaa ituumbue kama nyinyi, huo ujinga utaukuta kenya pekee.
Unafeki uwazimu ila najua umenielewa. Mbona msitumie wimbo wa mondi wenu Singida Dodoma nyegezi kuwavutia watalii badala ya kuiga Jambo bwana, Kenya yetu hakuna matata? π Alafu ni lini umesikia watalii wakitua JNIA Tz ili waje Kenya?Tangaza kenya bana au haiuziki, mpaka ipitie tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka uone wakitua tz waje kenya kufanya nini[emoji16][emoji16][emoji16], yaani watakuwa wamebakiza nini ambacho kinapatikana Kenya!!!Unafeki uwazimu ila najua umenielewa. Mbona msitumie wimbo wa mondi wenu Singida Dodoma nyegezi kuwavutia watalii badala ya kuiga Jambo bwana, Kenya yetu hakuna matata? π Alafu ni lini umesikia watalii wakitua JNIA Tz ili waje Kenya?