Kenya resumes aTrade war: bans importation of rice from Tanzania

Pingili wewe ni wajuzi, hizi mbinu Kenya imezifanya sana tena zaidi ya hizi mpaka kuja ku sabotage viwanda vya Tz kwa kutumia mbinu za kigaidi wa kiuchumi. Sasa hawamu hii imeamua kuwatolea uvivu. Uzuri E.A nzima inajua michezo yenu ndiyo maana UG, Rw na Burundi wapo pamoja na Tz kwenye vita hii.
Una mcheka Mkenda! Mimi nimefurahi sana kusikia watendaji wana peruzi mitandao then wana fuatilia (siyo kukurupuka) amesema wameongea na ubalozi wana fuatilia soon tutapata feedback. Hii ndiyo awamu ya 5 hamna kulala full kuwanyo osha. Magu knows better ndiyo maana anasema tuzaane tuzidi kuwa soko kubwa zaidi E.A. Mjipange sasa those days za kuua general tyres are long gone.
 
kwani tatizo likowapi sasa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
kenya mayataka wenyewe sasa mnalia lia nini ... tusishi hivihivi tu ..majirani ni wengi kweli
Sasa ni wapi nilipo, au tulipolialia kama unavosema. Kama unangoja nikutusi ili upate mwanya wa kueneza chuki zako dhidi ya wakenya, jombaa utangoja sana.
 

Upo biiiiize kum attack Prof Mkenda, umesahau kuwa siku hizi taarifa zinasafiri kasi kutokana na mitandao ya kijamii?? Tena yeye mwenyewe amesema anangojea taarifa rasmi kutoka kwenye Ubalozi wa Tanzania hapo Nairobi, sasa ulitaka afanye decision kwa habari ambayo ameipata kwenye social media?
 
Kama mimi ni wa juzi basi wewe ni wa jana. Hapo uliposema eti mzaane ili muwe soko kubwa ndugu yangu ndio umeniacha mdomo wazi. Unataka kuniambia awamu hii mliifanikisha kwa kura kwasababu ya Kenya? [emoji15][emoji15][emoji15] Ukiona vyaelea jua vimeundwa. Fanya kazi kwa nguvu.
 
Hamna mbabe kwenye vita kama hivi, ni hasara tupu kwenda mbele na kurudi nyuma kama waafrika kimaendeleo.
Ila kwa sasa naona Tanzania imeongeza bidii katika uzalishaji malighafi na viwanda vya kusindika bidhaa mbali mbali ili kuongeza thaman hata kuweza kushindana kibiashara hasa ukanda huu wa EAC na hivyo kufanya nchi nyingine kama Kenya kujilinda zaid.

Kumbuka Tanzania ina reserve ya 1.2 Million tons za mchele wa kuuza nje ya nchi.

Ni wakati wa Tanzania sasa kudominate uchumi wa EAC kwani nia, ari na uwezo tunao pia.
 
wakenya wnapata tabu sana pamoja na wenzao wa ufipa .... yaani naomba kama itawezekana kq izuiwe kwe watu wpande rwand air na ET huku tukingoja safari za dreamliner za mumbai na china
 
Reactions: Oii
Hana wadogo zake ambao angewatuma wakadhibitishe uhalisia wa habari alizozipata? Hata kupiga simu kwa utawala kwenye boda Migori? Unataka nimsifie wakati taarifa ambazo anazo hazina hata chembe cha ukweli ndani yake? Mbona basi akaitwa P.S. Nangoja uniekee hapa taarifa ya bia za Tz zilizokamatwa Migori. Ili tudhibitishe kwamba ni watanzania walikamatwa nazo, na sio wakenya kwenye mabaa na kwamba walikuwa wamezipitisha boda kihalali na wakalipa kodi upande wa Tz, hata achana na upande wa boda wa Kenya.
 
Hapo sawa. Ila usidhani eti ndio mfanikishe hayo yote ni lazima Kenya ianguke. Kenya pia tuna mipango yetu na tulipoanza kujenga viwanda kwa wingi miaka mingi iliyopita hatukumtazama mtu yeyote yule.
 
Kama wewe ni wa juzi ilibidi ujue mlicho kua mnafanya. Kwa ukubwa wa TZ kuwa na watu mil 50 bado sana. Nyie na kieneo kidogo mpo approx 45m angalia Japan so namuunga mkono Magu watoto wazaliwe uzuri serikali imedhamilia kuwatibia na kuwasomesha bure. Tuwe taifa la watu wengi wenye ujuzi. Anyways hii siyo mada on the table. Wewe endelea kukaa mdomo wazi kama Uhuru hapa kazi tu
 
Huuuuu utani ulianza kwenye mahindi ona wakulima wanavyoteseka ...tusilalamike nakatipia sisi tz tumewabania wakenya ishu baadhi kwanzia ngombe,carrot, mahindi,vifaranga na wanyama wa aina yeyote wanasiasa hawataumia watakao umia ni wananchi
 
Huwa mnatutisha eti mtaacha kutulisha sivyo? Mbona sasa mwalia tunapowarahisishia mzigo? Kila mara mimi huwaambia vile Kenya huwafanyia favor kununua bidhaa zenu yet mnashinda mkilalamika.
 
Huuuuu utani ulianza kwenye mahindi ona wakulima wanavyoteseka ...tusilalamike nakatipia sisi tz tumewabania wakenya ishu baadhi kwanzia ngombe,carrot, mahindi,vifaranga na wanyama wa aina yeyote wanasiasa hawataumia watakao umia ni wananchi
Kweli kabisa, mwisho wa siku wananchi ndio wataumia. Mimi ni mzaliwa wa Kajiado, biashara pale Namanga nazielewa tangia utotoni. Najua ntakashifiwa ila ukweli lazima usemwe. Wakenya wapo kama zamani, wanafata faida kibiashara na wanajaribu kujiendeleza, kila mtu kivyake bila kubebwa na serikali yao wala sera zake. Serikali ya Tz nayo imejitahidi kuvuruga shughuli za kibiashara hata kwa wananchi wake. Nashangaa sana nikiwaona baadhi ya watz hapa wakisifia vitu vya ajabu wakiwa huko huko Dar na Dodoma. Morale ya wanabiashara wa kitz Namanga haijawahi fika kiwango cha chini kama sasa hivi. Amini usiamini wakenya huwa wakiliamsha upande wa pili watanzania nao upande huo mwingine huwa wanajawa na furaha kupindukia.
 
Hapo sawa. Ila usidhani eti ndio mfanikishe hayo yote ni lazima Kenya ianguke. Kenya pia tuna mipango yetu na tulipoanza kujenga viwanda kwa wingi miaka mingi iliyopita hatukumtazama mtu yeyote yule.
Ikumbukwe kichwan malighafi nyingi mlikua mkizitoa Tanzania. Leo hii Bia kutoka Tz ni bei cheeee kabisa.
Wanasemaga usimwamshe aliye lala maan akiamka utalala weye. Mfano huu unajieleza kabisa nani atapoteza hapo. Miaka mingi tumewazalishia malighafi kwa ajili ya viwanda vyenu angalia Tanga(Muheza) Matunda mbali mefaidika nayo, parachichi kutoka Njombe, Kenya ndo mnufaika mkubwa. Madini kama Tanzanite nyie ndo mlikua mkinufaika nayo.

Pia Tanzania ndo lilikua soko lenu kubwa kuanzia madawa, processed foods & beverages etc, kwani ndo Kuna idadi kubwa ya wateja wenu Afrika Mashariki.

Now the sleeping giant is awaken my Brother.
 
Poleni sana..hali tunaisikia wote
 
Hayo yote uliyoyasema yanahusu Kenya kivipi? Mimi nalaumu ujamaa. Kando na madhara yote ya mfumo huo wa zamani kiuchumi, ulieneza chuki zisizokuwa na tija kwa watanzania dhidi ya wakenya. Alafu kuna hadithi nyingi sana zilizoenezwa ambazo haziwezi dhibitishwa. Kama ni unyang'au hii mikakati yenu yote ya vita vya kibiashara tutaiita nini? Wewe ambaye ulisomea Kenya tuambie hata siku moja ambapo ulibaguliwa kwasababu wewe ni mtz. Cha kushangaza ni kwamba watanzania wanapendwa sana huku wakenya. Huku mitandaoni huwa nashangazwa sana na chuki na uongo unaoenezwa dhidi ya Kenya.
 
Sleeping giant gani nakati biashara iko stagnant soko landani limedorora la njee ndo hao tunagombana kila siku its not awaken giant were in a deep sleep
 
mimi nashangaa a kenya mnajiita middle income kwann msiagize mchele huko mexico mnataka vya tanzania kwanini.. hela mnazo agizeni huko kwingine tanzania itajua mahali pa kuuza bidhaa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…