thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Pingili wewe ni wajuzi, hizi mbinu Kenya imezifanya sana tena zaidi ya hizi mpaka kuja ku sabotage viwanda vya Tz kwa kutumia mbinu za kigaidi wa kiuchumi. Sasa hawamu hii imeamua kuwatolea uvivu. Uzuri E.A nzima inajua michezo yenu ndiyo maana UG, Rw na Burundi wapo pamoja na Tz kwenye vita hii.Kama hayo ndio malengo yenu ya kibiashara na mbinu yenu ya kukuza viwanda vyenu basi sitasita kuwaeleza kwamba mmepotea njia. Jiulizeni Kenya iliingia kwenye vita vya kibiashara na nchi gani ndio ikaweza kukuza viwanda vyake kiasi cha kutosheleza soko la ndani na pia kuuza bidhaa nje ya nchi?
Una mcheka Mkenda! Mimi nimefurahi sana kusikia watendaji wana peruzi mitandao then wana fuatilia (siyo kukurupuka) amesema wameongea na ubalozi wana fuatilia soon tutapata feedback. Hii ndiyo awamu ya 5 hamna kulala full kuwanyo osha. Magu knows better ndiyo maana anasema tuzaane tuzidi kuwa soko kubwa zaidi E.A. Mjipange sasa those days za kuua general tyres are long gone.