Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Sasa kama ni pesa si upige hesabu hapo.Tafuta thamani ya export zenu last year na fanya vivyohivyo kwa upande wetu.Kisha linganisha uone huo u-giant uchwara mnaojiaminisha.Ni wapi % ya ukuaji ikawa pesa?
So 12% ni heri kuliko 7.9b?[emoji23][emoji23]
Midanganyika bana illiteracy itawamaliza
Kama nawe unajihesabu miongoni mwa walioelimika,basi kazi ipo.