unadhani tulikuwa vichaa kuamua kujenga reli ya kasi tokea bandarini??Waza mlivyo mivivu ya kutupwa, mnategemewa na mataifa tisa kwenye bandari zenu zote, ila hata mjumulishe bandari zote bado mnapigwa double double na Mombasa.
Mna elimu gani ya kuizidi Tanzania ninyi au mnazuzuka na hako Kakiingereza kenu butu cha mkoloni?Halafu kingine kitakacho hakikisha tuaendelea kubaki juu yenu ni elimu, mna elimu mbovu sana na kwa mwaka tunawazidi mara mbili kwa wanaofuzu kutoka vyuo vikuu.
"Ze" sio kingereza pengine ilimaanisha "the"Mna elimu gani ya kuizidi Tanzania ninyi au mnazuzuka na hako Kakiingereza kenu butu cha mkoloni?
Tunapoelekea tutakifuta kabisa Kiingereza Tanzania, tutumie mitaala ya Kiswahili kusudi tuondokane na kichaa cha kudhani Kiingereza ndio elimu.
Hicho kichaa ndicho Kinachofanya mpaka VIDAMPA waokota makopo wa Kenya kama MK254 kudhani wana akili nyingi kwa sababu tu ya hizo "ze ze ze... ze daughter of cow...." Haaaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
unadhani tulikuwa vichaa kuamua kujenga reli ya kasi tokea bandarini??
mvivu siku zote hufikiri zaidi ya kurahisisha kazi zake,hujui hili???
endeleeni kupiga double,mpaka siku mje shtuka mombasa nayo imekuwa ghost port ndio mtajua hamjui??anyway LAMU iko hatua gani mpaka sasa??
wewe endelea kutukalia,siku utajua tumetoboa suruali yako kwa chini ndio utaelewa.Nyie ni wale wale, kwanza hata reli yenyewe mlikua muanze kuitumia mwaka jana, mpaka leo ni ngonjera, tutaendelea kuwakalia kwa kila hali, kielimu, kiuchumi na kila kitu.
Vyovyote vile."Ze" sio kingereza pengine ilimaanisha "the"