Kenya sasa namba tatu kwenye ushindani wa utalii

Nimekuuliza nipe kitu unique lakini hadi sasa unarukaruka tu.....
kama lakes mnazo, mbuga za wanyama,cultural heritage, historical sites, mountains hadi desert yaani na zaidi

Kwa hiyo unapoongelea utalii ni kitu kipana sana wala haijalishi rasilimali ngapi unazo bali ni upekee na wakenya hamna ujanja wa kusema kuwa mmetuzidi ujanja kwa kuwa southern circuit ya kenya na northern circuit ya tz ni kama zimeungana ambayo huwapa nguvu zaidi yaani watalii watashukia jommo kenyataa int airport na kufanya transit kuja kwetu lakini hilo litaondoka na hautoamini

Hiyo league mnayocheza ni ya northern circuit tu na sasa kusini panafunguka na hapo ndipo utakapoziona lazy bones zikiingiza pesa zaidi

tatizo huwa mnapenda kuyakuza mambo lakini ukweli mtaujua na hizo mentality zenu mtaelewa muda sio mrefu
 

You just wrote what you wanted to write for reasons that you know better.

You are turning a blind eye at our historical past; where we came from and where we are now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…