Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Nimekuuliza nipe kitu unique lakini hadi sasa unarukaruka tu.....Adjectives ya vivutio ndio huwa muhimu, kama ni lakes, tayari zipo kwenye nchi nyingi Afrika lakini unakuta ya kwenu ndio refu zaidi ya zote Afrika. Kwamba kuna Wakenya wametaja baadhi ya hivyo vitu kuwepo Kenya, inawezekana ni baada ya kuona mlivyo wazembe mnakalia raslimali bila kuzitumia huku mkitajwa kwenye nchi maskini wa kufa mtu Afrika.
kama lakes mnazo, mbuga za wanyama,cultural heritage, historical sites, mountains hadi desert yaani na zaidi
Kwa hiyo unapoongelea utalii ni kitu kipana sana wala haijalishi rasilimali ngapi unazo bali ni upekee na wakenya hamna ujanja wa kusema kuwa mmetuzidi ujanja kwa kuwa southern circuit ya kenya na northern circuit ya tz ni kama zimeungana ambayo huwapa nguvu zaidi yaani watalii watashukia jommo kenyataa int airport na kufanya transit kuja kwetu lakini hilo litaondoka na hautoamini
Hiyo league mnayocheza ni ya northern circuit tu na sasa kusini panafunguka na hapo ndipo utakapoziona lazy bones zikiingiza pesa zaidi
tatizo huwa mnapenda kuyakuza mambo lakini ukweli mtaujua na hizo mentality zenu mtaelewa muda sio mrefu