Kenya Giza tupu nenda google earth ya usiku,picha ziliwekwa hapa za Kenya na tz zitafuteData yenyewe sio yetu.
GDP ni hesabu ya IMF. Tutapika vipi?
US GDP yake $20 trillion, lakini lazima wakope miradi yao. Kwa hivyo point yako gani?
Wewe kama mtu wa LDC, nakuelewa unapofikiria GDP ya $100 billion ni kubwa. Lakini ili Kenya ijitoe kwa umaskini, tunahitaji GDP ya $500 billion kwenda juu.
Lakini vile vile, hii GDP yetu imejenga lami mara mbili Tanzania. Stima mara mbili na nusu. Mishahara mara mbili.
Kwa sifa za kijinga hamjamboHatujisifii tuna pesa.
Tunajisifia tuna pesa mingi kuliko LDC Tanzania.
Kwani ujui Kenya ni koloni la mzungu ndiyo maana upumbaavu wa EPA ,Kenya ilikuwa inatumiwa na wakoloni Kwa njama ili kufanikisha EPAYaani hawa hata elimu ya msingi kwao ni mtihani, sijui huwa wanasoma vipi kwa kweli, siku nyingine nikitembelea Bongo nitatamani niingie kwenye darasa moja nione kitu gani wanafundishwa, hizi data sio zetu, sio sisi tumezitangaza, sasa unashindwa IMF watapika data za nchi moja ya Kenya ili iweje.
Nlikua huwezi elewa just ya elimuBro we got that Information right. 5% growth p.a. can't make such a huge difference in just 3 years.
Kenya Giza tupu nenda google earth ya usiku,picha ziliwekwa hapa za Kenya na tz zitafute
Wacha kichaa. Kenya ardhi kubwa ni jangwa. Hakuna anayeishi huko. Unafaa ujue stima unatafuta wapi.
Vile vile Australia ambayo ni jangwa, stima yao iko tu kwenye watu wanaishi.
Being a desert is not the issue. It is whether people live there or not.So in Saudi Arabia there is no even a single light because it's full desert.
Uwe unatumia akili sometimes.
Alisema ni ya tatu mkuu akiwa pale Katavi πMagufuli juzi kasema yatano wewe umetoa wap
Ghana kanchi kadogo na population ndogo pia wamewashinda kwa zaidi ya 7 billion dollars? Nyie Ni vilaza wa kuzaliwa πPimbi za Kenya zimepika GDP dunia ilisha sema lengo ni jubilii na Uhuru wasidhalilike Kwa kupitwa na Ethiopia. True GDP ya Kenya $ 72Bil
Na ya Tanzania ni ngapi? πPimbi za Kenya zimepika GDP dunia ilisha sema lengo ni jubilii na Uhuru wasidhalilike Kwa kupitwa na Ethiopia. True GDP ya Kenya $ 72Bil
So wakenya wote wamejikusanya Kwa kibera ? Kenya mwanga unaonekana kidogo Nairobi na mombasaBeing a desert is not the issue. It is whether people live there or not.
Jidanganye Ghana tunaijua miji yake hata Kampala kumejengekaGhana kanchi kadogo na population ndogo pia wamewashinda kwa zaidi ya 7 billion dollars? Nyie Ni vilaza wa kuzaliwa [emoji23]