Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kenya Giza tupu nenda google earth ya usiku,picha ziliwekwa hapa za Kenya na tz zitafuteData yenyewe sio yetu.
GDP ni hesabu ya IMF. Tutapika vipi?
US GDP yake $20 trillion, lakini lazima wakope miradi yao. Kwa hivyo point yako gani?
Wewe kama mtu wa LDC, nakuelewa unapofikiria GDP ya $100 billion ni kubwa. Lakini ili Kenya ijitoe kwa umaskini, tunahitaji GDP ya $500 billion kwenda juu.
Lakini vile vile, hii GDP yetu imejenga lami mara mbili Tanzania. Stima mara mbili na nusu. Mishahara mara mbili.