Kenya secures $3.59 billion from China to extend SGR from Naivasha to Kisumu

Sisi vipi? Mbona wachina hawaji
Mzee bulldozer aliwaita wafisadi ,pia alitaka kutumia hela ya mkopo kutoka china na kuwapa waturuki wajenge reli kinyume na matarijio ya wachina

Wachina wakasema Tanzania isahau mkopo
 
I think you know exactly what type of locomotives am talking about, please find the attachment of our new born locomotives actually they are in the making, sophisticated of it's own unique more over it is fully financed by our own.

In the making, sooner on the rails.
 

Sooner is better, ok now where is are the rails for this??

Just asking this picture you have used here is it from japan?? Or Turkey?? Nooooo this is
Kereta Shinkansen Trains in China!! Are the Trains in Tanzania??
 
Wazee wa old is gold
Better than the day-dreamers of Bongolala! Nothing to show but shamelessly googling Chinese trains and wishing they could be theirs. Akili za kitoto kabisa. Mtoto akiona ndege yapita juu angani, ataambia mwenzake.. hiyo ni yangu ... hiyo ni yangu, Exactly the Bongolala brain in Danganyikans
 
Magufuli hataki ujanja ujanja.. maana kama ishu ni kujenga ingejengwa toka enzi za JK lakini wazi kabisa kulikuwa na harufu ya ufisadi.. na hicho hakimsumbui yeye ni sisi wananchi ndio tutakao ingia kwenye hilo deni.

Ni bora kujenga kwa hela ya ndani ili tupunguze deni, maana clearly serikali imeinyesha interest ya kukopa.. ila inataka mkopo ambao watakuwa na say nao.. sio wa hawa wachina ambao una makandokando na masharti mengi ya kinyonyaji.

Kuna reli ambazo zimejengwa na makandarasi wengi.. na inawezekana kwa kuwa standards zinajulika, na tenda ya kujenga awamu ya Moro-Dodoma imetangazwa ina maana mkandarasi anayejenga sasa hivi anaweza kushinda kama ana vigezo.

Na vilevile, kuhusu mizigo, tunajua wazi wanajenga bandari kavu, ina maana malori hayataingia tena Dar..

Mwisho.. haya mambo yameshapangwa, sio kwamba wanakurupuka.
 
wacha mdomo, leta spec sheet ya hizo two locomotives, the Kenyans ones ni DF8B, currently in use in mainland china, please enlighten us the kind of freight models you will purchase?
 
We don't want to be economic giants just on paper it won't help us.Kenyans are always very impatient with renders on paper that's y u c our government implementing projects in haste.We r not competing u guys coz we have a blue print which is vision 2030.we will continue posting
development news daily here in jf for the world to witness how visions make wonders
 
wacha mdomo, leta spec sheet ya hizo two locomotives, the Kenyans ones ni DF8B, currently in use in mainland china, please enlighten us the kind of freight models you will purchase?

Ok umeuliza, DF8B ndio Freight Locomotive


DF11G Ndio passenger locomotives
 

Pwahahahaa... I have never laughed this louder. Mtafungia generators ngapi iweze kufika moro
 

Inaonesha wewe hufuatilii huu mradi hata kidogo, unatengeneza mambo kichwani mwako halafu unaanza kuyatolea maelezo mambo hayo ambayo sio sahihi. Kama hauna habari kamili ni bora kunyamaza kuliko kuokota vitu kwenye mitandao ya udaku na kuja kutapika humu.

1. Lengo kuu ka mradi huu ni kubeba mizigo na sio abiria, kutokea Isaka reli itaelekea mpakani kwa Rwanda na Burundi kwa ajili ya usafirishaji wa mizigo yao kutoka bandari ya Dar es Salaam. Soma hapa chini kuhusu mradi wote kabla ya kuanza kukurupuka.

Background – Dar es Salaam-Isaka-Kigali/Keza-Musongati Railway Project

2. Kuhusu umeme, treni zetu zitakuwa ni hybrid (zinatumia dizeli na umeme). Gharama ya reli yetu ni Usd 4.05m / km wakati ya Kenya ni maradufu ya hio na yao ni dizeli tu. Hakuna ubaya wa kuweka umeme maana kuna miradi mingi ya uzalishaji umeme inaendelea.

3.Kuhusu kuwa na wakandarasi tofauti, reli zina viwango vinavyojulikana kwa kila mkandarasi na hamna shida mradi kufanywa na wakandarasi tofauti. Sababu ya kugawa mradi ni kuharakisha ujenzi wake, siku si nyingi RAHCO watatangaza wakandarasi wa vipande vilivyobakia. Ikumbukwe kuwa hata reli ya kati ya sasa hivi ilijengwa na wakandarasi wa kutoka nchi tofauti na miaka tofauti lakini hamna shida yoyote.

4. Ni upumbavu kufananisha mradi wetu na wa Kenya, Kenya wameumizwa na Wachina na reli yao ni ya hali ya chini mno kulinganisha na yetu. Kenya watatumia gharama nyingi zaidi kuweka umeme kuliko kama wangefanya mambo yote kwa pamoja. Fuatilia specifications za reli ya Kenya na Tanzania na gharama halafu uone jinsi JPM alivyo kichwa.

Jitahidi kufuatilia mambo kuliko kuishi kwa kufuatilia vyanzo visivyo rasmi vya wapinga maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…