Kenya secures UN Security Council seat after defeating Djibouti

Kenya secures UN Security Council seat after defeating Djibouti

Upo sahihi ila hii tabia ya kutotakiana mema naona kwa Tanzania inazidi kuota mizizi.

Ukichukulia kwanza wakenya ni ndugu zetu lkn sioni kama baadhi yetu tumefufahishwa na nafasi walio pata wakenya.
Sijui kama mchangiaji ni Mkenya au MTz. Muhimu ni kwamba tusilete mzaha katika masuala mazito kama haya. La sivyo, tutapoteza lengo: watu tutakaa tunapigana vijembe wakati tulipaswa kuwa tunajadili jambo muhimu ambalo litajadiliwa kwenye vikao vijavyo. Matokeo yake ni kwamba mwakilishi wetu anakosa msimamo wa pamoja wa Afrika wa kuwasilisha kwenye kikao na sote Afrika tunaumia.
 
Mkuu tafadhali msifanye hivyo maana kumbuka kuwa somalia na kenya ni ndugu kwa ujirani mlio nao jitahidi kumalizana kiungwana. Kama mlivyo malizana na Uganda kwenye issue ya kisiwa cha Bugingo
Migingo ni kajiwe kadogo ambako tokea zamani ilikua hakajulikani kako upande gani.

Lakini kule baharini Somalia wanataka eneo la ekari 180,000, wakichukua itakua Kenya hatuna maritime economic zone tena, Lamu itakua meli haziwezi kutua na hata Mombasa itakua ni vigumu manake mpaka wapitie na maji ya Somalia ndo wafike Mombasa, hapa tukizubaa watakua wametuua kiuchumi kabisaaaaa! hii kesi nakwambia ni mpaka tushinde, tukishindwa ni vita manake hatutakubali hio sehemu iende
 
Somalia isahau Kesi yake ya mipaka kule ICJ, tulikua tunatumia kila mbinu ku delay hio kesi ya maka,lakini sasa hata wakisema kesi ianze kesho si tuko tayari , jaji akiamua lolote kinyume na matakwa ya Kenya, sisi kule kwa security council tuna lobby permanent members wa UNSC wapige VETO power hayo maamuzi ya kesi
kwa lugha rahisi ni kuwa kenya wanauwezo wa kuwalazimisha china Russia USA France and British kufata matakwa ya kenya
 
Migingo ni kajiwe kadogo ambako tokea zamani ilikua hakajulikani kako upande gani....

Lakini kule baharini Somalia wanataka eneo la ekari 180,000, wakichukua itakua Kenya hatuna maritime economic zone tena, Lamu itakua meli haziwezi kutua na hata Mombasa itakua ni vigumu manake mpaka wapitie na maji ya Somalia ndo wafike Mombasa, hapa tukizubaa watakua wametuua kiuchumi kabisaaaaa! hii kesi nakwambia ni mpaka tushinde, tukishindwa ni vita manake hatutakubali hio sehemu iende
Nawatakia kila la kheri mkuu
 
Inategemea na nguvu ya ushawishi na maslahi ya hayo mataifa nchini kenya
kwa lugha rahisi ni kuwa kenya wanauwezo wa kuwalazimisha china Russia USA France and British kufata matakwa ya Kenya
 
Marehem mzee Mugabe aliwahi kusema Afrika ni kubwa sana na kwa umuhimu wake, inapaswa ipatiwe angalau kiti kimoja cha kudumu kwenye baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Hizo jitihada naona zimefifia kabisa.

Je, kwa aina ya viongozi wengi wa Afrika tulionao, wataweza kufufua na kusukuma mbele hiyo hoja?
 
Kwa mara nyingine tena wenzetu Kenya wamefanikiwa kupata nafasi ya uwakilishi wa bara la Afrika kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa.

Tunawapongeza kwa mafanikio hayo waliyo yapata majirani zetu, baada ya kuishinda Djibouti [emoji1089] kwenye kura.

Sisi jirani zenu tutakuwa tunawasindikiza kwa dua na maombi.
East Africa pamoja. [emoji1139][emoji1241][emoji1254].
 
Maccm yananuna hapo
Hivi kila kitu lazima muingize uchama?

Haya, Kenya kushinda huko UN kutaisaidia chadema kushinda mwezi oktoba kwenye uchaguzi mkuu?
Kutamsaidia Mbowe kujiosha na kashfa ya kulewa na kuanguka?

Kweli chadema imejaa mavilaza
 
Naona umekasilika sana baada ya kusikia habari njema kwa majirani zetu
 
Hivi kila kitu lazima muingize uchama?

Haya, Kenya kushinda huko UN kutaisaidia chadema kushinda mwezi oktoba kwenye uchaguzi mkuu?
Kutamsaidia Mbowe kujiosha na kashfa ya kulewa na kuanguka?

Kweli chadema imejaa mavilaza
Naona wewe ndiyo kiongozi wa vilaza hapo lumumba
 
Back
Top Bottom