Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Upo sahihi ila hii tabia ya kutotakiana mema naona kwa Tanzania inazidi kuota mizizi.
Ukichukulia kwanza wakenya ni ndugu zetu lkn sioni kama baadhi yetu tumefufahishwa na nafasi walio pata wakenya.
Ukichukulia kwanza wakenya ni ndugu zetu lkn sioni kama baadhi yetu tumefufahishwa na nafasi walio pata wakenya.
Sijui kama mchangiaji ni Mkenya au MTz. Muhimu ni kwamba tusilete mzaha katika masuala mazito kama haya. La sivyo, tutapoteza lengo: watu tutakaa tunapigana vijembe wakati tulipaswa kuwa tunajadili jambo muhimu ambalo litajadiliwa kwenye vikao vijavyo. Matokeo yake ni kwamba mwakilishi wetu anakosa msimamo wa pamoja wa Afrika wa kuwasilisha kwenye kikao na sote Afrika tunaumia.