Kweli hakuna njaa wala dalili ya njaa bali kuna ukame kiasi na upungufu wa nafaka ya mahindi peke yake mchele ifakara wanalia soko huko mihogo imejaa mtama umejaa viazi vitamu na mbatata vimejaa karanga zimejaa njaa inaingilia wapi?Kwetu hapa hakuna njaa....