Kenya sets aside Sh200 million to buy rice for grain reserve

Mi napinga hili jambo, Mchele na ngano haujawahi kua na shida.... Haya mahindi ndo hua kila siku kuna scandal serekali hua inaweka mahindi kwa strategic grain reserve lakini bei ya unga wa mahindi hua ina fluctuate sana, mara ni 85 mara 95 mara 125 alafu inarudi 105.....
Ushawahi sikia siku unga wa ngano umepanda bei? ushawahi sikia watu wakilalamikia bei ya mchele???? No. Kwanini? Sasa serekali ina track record gani ya kununua grains na kuweka kwa strategic grain reserve ?
 
maua ni ya mzungu brother, leta zao mkulima wa kawaida wa Kenya amezalisha kumpita mtanzania, hamuwezi kuipita Tanzania kwenye coffee production hata siku moja, tena awamu hii hili zao limepata muamko wa ajabu na ndani ya muda mfupi tunaenda kurudi kwenye our lost glory kwenda Kupambana na Ethiopia

Rudia kusoma mara tano nilichokiandika utapata uelewa ninachozungumza kuhusu, kawaida ardhi ikiwa ndogo inabidi kutumia ubongo na kuzalisha mazao ambayo yanatufanya tuwazidi kiuchumi karibia mara mbili, hivyo tunakua na hela nyingi kiasi cha kusubiri nyie muiname kulima mahindi tuje tuyanunue, mngekua na akili na mjiongeze na kuacha uzembe, hii Afrika hakuna angewashinda.
 
LOL kipi sasa mnachozalisha wakenya ukiachana na maua na chai uwekezaji wa wazungu, nataka kujua ni kipi kingine tofauti mnazalisha kuwazidi wavivu wa Tanzania

Yaani ninyi viwanda vikifungwa leo nchi nzima mnakua majobles,

Ubaya wa kutojitosheleza kwa chakula ndani ya nchi ni kwamba pesa zote mnazopata kutoka kwenye shughuli nyingine za uchumi mnazipeleka kununua chakula badala ya kufanyia shughuli nyingine za maendeleo

Nina mashaka kwamba serikali yenu pia hukopa pesa nyingi kwa riba kubwa ili kununua chakula sababu sio kwa deni lile kubwa vile huku ukiangalia mlichofanyia pesa zote hizo hakionekani.

Acheni uvivu wakenya, jishughulisheni muipunguzie serikali yenu mzigo wa kuwalisha kila siku, mna bahati mmepakana na watanzania wazalishaji, je kama mngekua mmepakana pande zote na nchi kama Somalia? Mngeshakufa wote
 
maua ni ya mzungu brother, leta zao mkulima wa kawaida wa Kenya amezalisha kumpita mtanzania, hamuwezi kuipita Tanzania kwenye coffee production hata siku moja, tena awamu hii hili zao limepata muamko wa ajabu na ndani ya muda mfupi tunaenda kurudi kwenye our lost glory kwenda Kupambana na Ethiopia

halafu kwenye kahawa nyingi ya Kagera inauzwa kimagendo Uganda. Na mpango wa kuotesha miche mipya unaendelea across Tanzania!
 
Kabisa, hiyo number ya Uganda nusu yake ni kahawa ya Tanzania, ukweli ni kwamba wakitoka Ethiopia ni Tanzania inaingia number 2 uzalishaji wa kahawa Africa

Kwa mikakati niliyoiona lazima tuwe juu muda si mrefu sababu mikahawa inapandwa kwa fujo sana
 
LOL kipi sasa mnachozalisha wakenya ukiachana na maua na chai uwekezaji wa wazungu, nataka kujua ni kipi kingine tofauti mnazalisha kuwazidi wavivu wa Tanzania

Yaani ninyi viwanda vikifungwa leo nchi nzima mnakua majobles,

Ubaya wa kutojitosheleza kwa chakula ndani ya nchi ni kwamba pesa zote mnazopata kutoka kwenye shughuli nyingine za uchumi mnazipeleka kununua chakula badala ya kufanyia shughuli nyingine za maendeleo

Nina mashaka kwamba serikali yenu pia hukopa pesa nyingi kwa riba kubwa ili kununua chakula sababu sio kwa deni lile kubwa vile huku ukiangalia mlichofanyia pesa zote hizo hakionekani.

Acheni uvivu wakenya, jishughulisheni muipunguzie serikali yenu mzigo wa kuwalisha kila siku, mna bahati mmepakana na watanzania wazalishaji, je kama mngekua mmepakana pande zote na nchi kama Somalia? Mngeshakufa wote

Naona umeishiwa hadi umeanza kuandika vitu vinavyofahamika kuwa kawaida, kawaida viwanda vikifungwa vyote watu wanakua jobless, nini kipya hapo.
 
Pia uzalishaji wa muhogo na pulse Tanzania ni mkubwa! Muhogo Nadhani ya pili Africa. Mazao ya Jamii ya mikunde wa kwanza.

Ufuta tuko top 3 in the world! Ulimaji wa kakao tunakuja juu southern highlands! Kuna vanilla pia Kagera na Kilimanjaro!

ATCL should bring a cargo aicraft as potentials r immense!

Want happened to minofu via ATCL?
 
Naona umeishiwa hadi umeanza kuandika vitu vinavyofahamika kuwa kawaida, kawaida viwanda vikifungwa vyote watu wanakua jobless, nini kipya hapo.
Mmeacha mashamba huko vijijini yanaota magugu sababu ya uvivu mmekimbilia kujazana kwenye miji mikubwa kusaka ajira za vishilingi mbili viwandani?

Ndio maana Central Kenya ipo over populated na slums ni nyingi huku maeneo ya North yameachwa mahame utafikiri kulikua na vita, maendeleo ya Kenya hayapo scattered.
 
Jamaa umeamka, sioni tukikuza chochote hapa maana umeishiwa kabisa, leta hoja nyingine twende nayo, hili la ukulima lipo wazi kwamba tungekua hata na nusu ya ardhi mliyonayo, Afrika hii ingetukoma. Lakini ndio hivyo kama nilivyosema, hupewi vyote, tulipewa akili na bidii ya kujituma na nyie mkapewa ardhi na madini mkanyimwa akili na uwezo wa kujituma.
Ndio maana EAC hatuwezi tukaungana maana siku zote huwa mnatuogopa kwamba tukija tutachukua vyote kwa mlivyodumaa, hapo pana ukweli kabisa, leo hii kuna Wakenya wanapiga hela kwa kutumia mashamba yenu hayo ukizingatia wanastahimili sera zenu za anti-Kenyans, ingekua vipi kama wangeruhusiwa mazima mazima....

Leo hii makampuni ya Kitanzania yanahangaika kutafutia Wakenya vibali, wanaingia gharama kubwa sana, Mtanzania na kampuni yake yupo radhi kuingia gharama yote ili amlete Mkenya na kuwaacha wabongo na utepetevu na uzembe wao. Sema serikali inakataa kabisa, imegoma hairuhusu vibali kwa Wakenya, yaani Mkenya kupata kibali huko inabidi kutumia nguvu nyingi sana na kusubiri kwa muda mrefu, serikali inatumia nguvu nyingi kuwalinda Watanzania, na hapo hata mimi nadiriki kusema serikali inafanya kitu kizuri maana Wakenya wakiachiwa waje, watachukua ajira zote za maana, mtaachiwa kazi za kubeba mabox.
 
Jamaa umeamka, sioni tukikuza chochote hapa maana umeishiwa kabisa, leta hoja nyingine twende nayo, hili la ukulima lipo wazi kwamba tungekua hata na nusu ya ardhi mliyonayo, Afrika hii ingetukoma. Lakini ndio hivyo kama nilivyosema, hupewi vyote, tulipewa akili na bidii ya kujituma na nyie mkapewa ardhi na madini mkanyimwa akili na uwezo wa kujituma.
Ndio maana EAC hatuwezi tukaungana maana siku zote huwa mnatuogopa kwamba tukija tutachukua vyote kwa mlivyodumaa, hapo pana ukweli kabisa, leo hii kuna Wakenya wanapiga hela kwa kutumia mashamba yenu hayo ukizingatia wanastahimili sera zenu za anti-Kenyans, ingekua vipi kama wangeruhusiwa mazima mazima....

Leo hii mkampuni ya Kitanzania yanahangaika kutafutia Wakenya vibali, wanaingia gharama kubwa sana, Mtanzania na kampuni yake yupo radhi kuingia gharama yote ili amlete Mkenya na kuwaacha wabongo na utepetevu na uzembe wao. Sema serikali inakataa kabisa, imegoma hairuhusu vibali kwa Wakenya, yaani Mkenya kupata kibali huko inabidi kutumia nguvu nyingi sana na kusubiri kwa muda mrefu, serikali inatumia nguvu nyingi kuwalinda Watanzania, na hapo hata mimi nadiriki kusema serikali inafanya kitu kizuri maana Wakenya wakiachiwa waje, watachukua ajira zote za maana, mtaachiwa kazi za kubeba mabox.
Sasa akili gani mnayo hapo? Kama mnayo akili kutuzidi ilitakiwa pamoja na jangwa hilo mlilonalo mzalishe mara 100 yetu sisi tusio na akili

Ninyi wenye akili mnalishwa 90% na wasio na akili na wavivu halafu bado mnajipiga kifua kwamba mna akili? Lol vichekesho hivi
 
Hiki umekiandika, ukikisoma vizuri na kurudia tena utakua umejijibu mwenye akili ni nani.
 
LOL nachojua mwenye akili hufanya impossible kuwa possible kama Israel, jangwa tupu pale na wamezungukwa na maadui pande zote lakini kwenye kilimo wapo mbali mpaka wanawasaidia chakula na miradi ya mabilioni mwishowe mnawafisadi pesa zao

Sasa ninyi wenye akili eti bado mnailaumu nature kwanini haiwezeshi kukuza mazao? Hizo ni akili za chooni na za kivivu kulaumu and criticism

Mngekua na akili mngepaswa kuigeuza nature ya jangwa kuwa Valley of plenty, jangwa limewazidi akili halafu mnajitapa mna akili hahaha dumbest ever
 
Tunarudia yale yale, sisi akili yetu tumetumia kukuza mazao yenye hela ili muiname na kulima chakula nyie tuje tununue na kubakiwa na chenji ya kuboresha nchi kwenye mambo mengine mengi.
 
Wakati wa Hayati Mwalimu Nyerere, kila mkoa na baadhi ya Wilaya zilikuwa na hifadhi ya chakula cha kutosha.
Maghala yote yalijaa chakula na kingine kuhifadhiwa nje. Mghala haya sasa yameuzwa kwa watu binasfi na mengine yamegeuzwa club za pombe au kucheza disco.
Leo hii chakula kinahifadhiwa kwenye mikoa michache na hii mikoa inaitwa kanda.
Uhai wa Kilimo umeshuka sana baada ya Serikali kuyaua Mashirika yake ya umma kama Pamba, Korosho, Nafaka, Chai, Tumbaku, Kahawa n.k.
Serikali iliyaua mashirika haya kwa sababu ya kuweka Watendaji wabovu kwa maslahi binafsi.
Kipindi kile ulikuwa huwezi kupata kazi nzuri kwenye mashirika haya kama huna father God.
Mwisho wa siku viongozi hao hao na wale waliofuata na wanainchi kwa ujumla wakayaona mashirika haya ni ya wezi na hayafai.
Mwalimu Nyerere alikuwa mkali katika kisimamia mashirika haya na yaliinua sana uchumi wa Inchi.
Wakati wake ni wasomi tu ndiyo walipata nafasi za juu kuongoza mashirika haya. Wale wezi wachache waliogitokeza alikuwa anawafukuza kupitia Redio kwenye taarifa ya habari ya saa saba mchana ili kila mtu akusikie na kabla ya kuondoka kurudi nyumbani unakuwa umekabidhi shirika.
Kitu pekee kitakachomfanya Rais wetu wa sasa mwenye uongozi kama wa Nyerere ni kuunda tena mashirika haya ili kuongeza ajira kwa haraka na kufufua uchumi.
Shirika la ndege la sasa ATCL lilikufa kwa sababu ya uongozi mbovu lakini sasa lina heshima Duniani.
ATCL haina impact ya moja kwa moja kwa mwanainchi wa kawaida. Ila kilimo kitakuwa na impact ya moja kwa moja kwa mkulima, mfanyabiashara, Taifa na waajiriwa.
Rais wetu anza sasa kurudisha mashirika haya kama ulivyofanya ATCL.
 
Kwanini wakulima wanatoroshea kahawa yao uganda ?

Kuna mkakati wa kuzuia hichi kitu kwa kutoa ofa nzuri kwa wakulima ili wasitoroshe ?
Kabisa, hiyo number ya Uganda nusu yake ni kahawa ya Tanzania, ukweli ni kwamba wakitoka Ethiopia ni Tanzania inaingia number 2 uzalishaji wa kahawa Africa

Kwa mikakati niliyoiona lazima tuwe juu muda si mrefu sababu mikahawa inapandwa kwa fujo sana
 
Naton Jr,

Ni aibu sana kuwa na ardhi yote hiyo yenye rotuba pembe zote na bado kuwa na uzalishaji mdogo kiasi hicho, ndio maana bado mpo kwenye LDC, full uzembe, huwa mumenyon'gonyea sana, yaani ukubwa wa Tanzania ni sawa na uunganishe Kenya, Uganda, Rwanda karibia EAC yote, ukizingatia kila sehemu kote huko kuna rotuba nzuri, mvua ipo.
Halafu kutwa kujipima nguvu na kainchi kadogo kama Kenya, ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu.

Hii ramani hapa, maeneo yenye rangi ya njano ndio tunategemea kiukulima, na bado tunawazidi nyie kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu.

Tungekua wazembe kama mlivyo, tungekufa milioni moja kila mwaka, kweli binadamu hupewi kila kitu, unapewa ardhi unanyimwa ubongo, au upewe ubongo unyimwe madini na ardhi.

Angalia kwa nchi yenu.

map.png
Ehehehe eti kenya ni kainchi kadgo, nahisi maana ya "ndgo" imebadilika skuizi.
 
Utakuwa na excuse mpaka lini wew, nyie wakenya ni wavivu mno, Tz tupo top5 africa kwa uzalishaji wa zao lolote unalojua wew, most of our land ni reserve tuna hifadhi, misitu, mbuga, etc haziruhusuwi kutumika kwa shughuli zozote ardhi kidg ilobaki ndo inatumika kwa shughuli. Eti kenya nchi ndgo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] burundu na Rwanda sijui wasemeje, Nyie mtabaki kuwa chini yetu, hamna chakula hamna maji serikal yenu ni broke na gdp ya makaratasi So go hang yourself
Naona umeishiwa hadi umeanza kuandika vitu vinavyofahamika kuwa kawaida, kawaida viwanda vikifungwa vyote watu wanakua jobless, nini kipya hapo.
 
Tunarudia yale yale, sisi akili yetu tumetumia kukuza mazao yenye hela ili muiname na kulima chakula nyie tuje tununue na kubakiwa na chenji ya kuboresha nchi kwenye mambo mengine mengi.
Hoja imekushinda
 
Back
Top Bottom