Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Mi napinga hili jambo, Mchele na ngano haujawahi kua na shida.... Haya mahindi ndo hua kila siku kuna scandal serekali hua inaweka mahindi kwa strategic grain reserve lakini bei ya unga wa mahindi hua ina fluctuate sana, mara ni 85 mara 95 mara 125 alafu inarudi 105.....
Ushawahi sikia siku unga wa ngano umepanda bei? ushawahi sikia watu wakilalamikia bei ya mchele???? No. Kwanini? Sasa serekali ina track record gani ya kununua grains na kuweka kwa strategic grain reserve ?