maua ni ya mzungu brother, leta zao mkulima wa kawaida wa Kenya amezalisha kumpita mtanzania, hamuwezi kuipita Tanzania kwenye coffee production hata siku moja, tena awamu hii hili zao limepata muamko wa ajabu na ndani ya muda mfupi tunaenda kurudi kwenye our lost glory kwenda Kupambana na Ethiopia
LOL kipi sasa mnachozalisha wakenya ukiachana na maua na chai uwekezaji wa wazungu, nataka kujua ni kipi kingine tofauti mnazalisha kuwazidi wavivu wa TanzaniaRudia kusoma mara tano nilichokiandika utapata uelewa ninachozungumza kuhusu, kawaida ardhi ikiwa ndogo inabidi kutumia ubongo na kuzalisha mazao ambayo yanatufanya tuwazidi kiuchumi karibia mara mbili, hivyo tunakua na hela nyingi kiasi cha kusubiri nyie muiname kulima mahindi tuje tuyanunue, mngekua na akili na mjiongeze na kuacha uzembe, hii Afrika hakuna angewashinda.
maua ni ya mzungu brother, leta zao mkulima wa kawaida wa Kenya amezalisha kumpita mtanzania, hamuwezi kuipita Tanzania kwenye coffee production hata siku moja, tena awamu hii hili zao limepata muamko wa ajabu na ndani ya muda mfupi tunaenda kurudi kwenye our lost glory kwenda Kupambana na Ethiopia
Kabisa, hiyo number ya Uganda nusu yake ni kahawa ya Tanzania, ukweli ni kwamba wakitoka Ethiopia ni Tanzania inaingia number 2 uzalishaji wa kahawa Africahalafu kwenye kahawa nyingi ya Kagera inauzwa kimagendo Uganda. Na mpango wa kuotesha miche mipya unaendelea across Tanzania!
LOL kipi sasa mnachozalisha wakenya ukiachana na maua na chai uwekezaji wa wazungu, nataka kujua ni kipi kingine tofauti mnazalisha kuwazidi wavivu wa Tanzania
Yaani ninyi viwanda vikifungwa leo nchi nzima mnakua majobles,
Ubaya wa kutojitosheleza kwa chakula ndani ya nchi ni kwamba pesa zote mnazopata kutoka kwenye shughuli nyingine za uchumi mnazipeleka kununua chakula badala ya kufanyia shughuli nyingine za maendeleo
Nina mashaka kwamba serikali yenu pia hukopa pesa nyingi kwa riba kubwa ili kununua chakula sababu sio kwa deni lile kubwa vile huku ukiangalia mlichofanyia pesa zote hizo hakionekani.
Acheni uvivu wakenya, jishughulisheni muipunguzie serikali yenu mzigo wa kuwalisha kila siku, mna bahati mmepakana na watanzania wazalishaji, je kama mngekua mmepakana pande zote na nchi kama Somalia? Mngeshakufa wote
Want happened to minofu via ATCL?Pia uzalishaji wa muhogo na pulse Tanzania ni mkubwa! Muhogo Nadhani ya pili Africa. Mazao ya Jamii ya mikunde wa kwanza.
Ufuta tuko top 3 in the world! Ulimaji wa kakao tunakuja juu southern highlands! Kuna vanilla pia Kagera na Kilimanjaro!
ATCL should bring a cargo aicraft as potentials r immense!
Tanzania Changes The Rules For African Cacao
Thanks to Tanzania-based Kokoa Kamili, now also Africa can begin the journey in becoming an appreciated place of origin for fine cacao.thechocolatejournalist.com
Growing vanilla in Tanzania
MEDA partnership helps with irrigation, training As printed in The Marketplace – May/June 2018 Like many Tanzanian farmers, Martha Kisanga has a lot on the go. She grows a dozen […]www.meda.org
Tanzania: Farmers Strike Gold With Vanilla
By Saumu Mwalimu (THE CITIZEN) Dar es Salaam — Vanilla farming is less popular in Tanzania but farmers from regions like Kagera, Morogoro and Kilimanjaro have struck gold in its cultivation. Dried vanilla beans are used in food, beverages and fragrances are sold at between Sh10,000 and Sh15,000...goldman-ci.com
Mmeacha mashamba huko vijijini yanaota magugu sababu ya uvivu mmekimbilia kujazana kwenye miji mikubwa kusaka ajira za vishilingi mbili viwandani?Naona umeishiwa hadi umeanza kuandika vitu vinavyofahamika kuwa kawaida, kawaida viwanda vikifungwa vyote watu wanakua jobless, nini kipya hapo.
Mmeacha mashamba huko vijijini yanaota magugu sababu ya uvivu mmekimbilia kujazana kwenye miji mikubwa kusaka ajira za vishilingi mbili viwandani?
Ndio maana Central Kenya ipo over populated na slums ni nyingi huku maeneo ya North yameachwa mahame utafikiri kulikua na vita, maendeleo ya Kenya hayapo scattered.
Sasa akili gani mnayo hapo? Kama mnayo akili kutuzidi ilitakiwa pamoja na jangwa hilo mlilonalo mzalishe mara 100 yetu sisi tusio na akiliJamaa umeamka, sioni tukikuza chochote hapa maana umeishiwa kabisa, leta hoja nyingine twende nayo, hili la ukulima lipo wazi kwamba tungekua hata na nusu ya ardhi mliyonayo, Afrika hii ingetukoma. Lakini ndio hivyo kama nilivyosema, hupewi vyote, tulipewa akili na bidii ya kujituma na nyie mkapewa ardhi na madini mkanyimwa akili na uwezo wa kujituma.
Ndio maana EAC hatuwezi tukaungana maana siku zote huwa mnatuogopa kwamba tukija tutachukua vyote kwa mlivyodumaa, hapo pana ukweli kabisa, leo hii kuna Wakenya wanapiga hela kwa kutumia mashamba yenu hayo ukizingatia wanastahimili sera zenu za anti-Kenyans, ingekua vipi kama wangeruhusiwa mazima mazima....
Leo hii mkampuni ya Kitanzania yanahangaika kutafutia Wakenya vibali, wanaingia gharama kubwa sana, Mtanzania na kampuni yake yupo radhi kuingia gharama yote ili amlete Mkenya na kuwaacha wabongo na utepetevu na uzembe wao. Sema serikali inakataa kabisa, imegoma hairuhusu vibali kwa Wakenya, yaani Mkenya kupata kibali huko inabidi kutumia nguvu nyingi sana na kusubiri kwa muda mrefu, serikali inatumia nguvu nyingi kuwalinda Watanzania, na hapo hata mimi nadiriki kusema serikali inafanya kitu kizuri maana Wakenya wakiachiwa waje, watachukua ajira zote za maana, mtaachiwa kazi za kubeba mabox.
Sasa akili gani mnayo hapo? Kama mnayo akili kutuzidi ilitakiwa pamoja na jangwa hilo mlilonalo mzalishe mara 100 yetu sisi tusio na akili
Ninyi wenye akili mnalishwa 90% na wasio na akili na wavivu halafu bado mnajipiga kifua kwamba mna akili? Lol vichekesho hivi
LOL nachojua mwenye akili hufanya impossible kuwa possible kama Israel, jangwa tupu pale na wamezungukwa na maadui pande zote lakini kwenye kilimo wapo mbali mpaka wanawasaidia chakula na miradi ya mabilioni mwishowe mnawafisadi pesa zaoHiki umekiandika, ukikisoma vizuri na kurudia tena utakua umejijibu mwenye akili ni nani.
LOL nachojua mwenye akili hufanya impossible kuwa possible kama Israel, jangwa tupu pale na wamezungukwa na maadui pande zote lakini kwenye kilimo wapo mbali mpaka wanawasaidia chakula na miradi ya mabilioni mwishowe mnawafisadi pesa zao
Sasa ninyi wenye akili eti bado mnailaumu nature kwanini haiwezeshi kukuza mazao? Hizo ni akili za chooni na za kivivu kulaumu and criticism
Mngekua na akili mngepaswa kuigeuza nature ya jangwa kuwa Valley of plenty, jangwa limewazidi akili halafu mnajitapa mna akili hahaha dumbest ever
Kabisa, hiyo number ya Uganda nusu yake ni kahawa ya Tanzania, ukweli ni kwamba wakitoka Ethiopia ni Tanzania inaingia number 2 uzalishaji wa kahawa Africa
Kwa mikakati niliyoiona lazima tuwe juu muda si mrefu sababu mikahawa inapandwa kwa fujo sana
Ehehehe eti kenya ni kainchi kadgo, nahisi maana ya "ndgo" imebadilika skuizi.Naton Jr,
Ni aibu sana kuwa na ardhi yote hiyo yenye rotuba pembe zote na bado kuwa na uzalishaji mdogo kiasi hicho, ndio maana bado mpo kwenye LDC, full uzembe, huwa mumenyon'gonyea sana, yaani ukubwa wa Tanzania ni sawa na uunganishe Kenya, Uganda, Rwanda karibia EAC yote, ukizingatia kila sehemu kote huko kuna rotuba nzuri, mvua ipo.
Halafu kutwa kujipima nguvu na kainchi kadogo kama Kenya, ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu.
Hii ramani hapa, maeneo yenye rangi ya njano ndio tunategemea kiukulima, na bado tunawazidi nyie kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu.
Tungekua wazembe kama mlivyo, tungekufa milioni moja kila mwaka, kweli binadamu hupewi kila kitu, unapewa ardhi unanyimwa ubongo, au upewe ubongo unyimwe madini na ardhi.
Angalia kwa nchi yenu.
Naona umeishiwa hadi umeanza kuandika vitu vinavyofahamika kuwa kawaida, kawaida viwanda vikifungwa vyote watu wanakua jobless, nini kipya hapo.
Hoja imekushindaTunarudia yale yale, sisi akili yetu tumetumia kukuza mazao yenye hela ili muiname na kulima chakula nyie tuje tununue na kubakiwa na chenji ya kuboresha nchi kwenye mambo mengine mengi.