Kenya: SGR kusimamishwa kufanya kazi hadi pale itakapolipa deni la Wachina

Kenya: SGR kusimamishwa kufanya kazi hadi pale itakapolipa deni la Wachina

Hali ya Kenya ni mbaya kupita maelezo....njaa inazidi, police wameanza kuwafunga raia kwenye pikipiki na kuwaburuza mitaani....hakuna upendo Kati ya mtu na mtu, UTU wa binadamu hauthaminiwi, raia wanateseka na lockdown, Corona imekuwa mungu mtu, wanaiabudu baada ya kufunga makanisa na misikiti, Kwa Hali kama hii usitarajie utulivu kwenye Nyanja yoyote Ile. Tubuni
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Hata mleta mada pia na uchawi wake anatamani ingekuwa kweli. Ndio maana anatuletea taarifa kutoka blog uchwara, tena ambayo hata haiendani na hoja wala kichwa cha uzi wake. Kiingereza kiliwasili kwa meli.
Blogg zote zinasajiliwa kwa mujibu wa sheria za nchi. Hahahaha, Hahahaha
 
Tanzania has more $millionares than the rest of EAC countries combined. Yours is cooked GDP. Hahahaha,

Worse, these Kenyan fools were a free market and allowed to own properties from days of independence.

No significant stride had been made, only politicians getting rich by stealing from dirty-poor and food-hungry slum dwellers.

F-u-c-k them.
 
Tanzania has more $millionares than the rest of EAC countries combined. Yours is cooked GDP. Hahahaha,
Tanzania pia ina idadi kubwa(na % kubwa pia) ya masikini ukanda huu wa Afrika Mashariki na ya Kati. Hapo sasa ndio huwa unaanza kusema kwamba takwimu kama hizo ni za mabeberu wanaowaonea kijicho. [emoji1]
 
Chinese Firm to Shut Down SGR Over Ksh38B Debt Owed

Wachina wameazimia kusimamisha shughuli zote za usafirishaji za SGR ya Kenya hadi pale watakapolipwa pesa zao, hii inatokana na deni kubwa lililotokana na hasara inayopata kila mwaka tangu ilipoanza kufanya kazi takriban miaka mitatu sasa.

MY TAKE; David Ndii ninamuona akichekelea huku machozi yakimtoka. "Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu."
Opera news itakumaliza[emoji1787][emoji1787]
 
Hali ya Kenya ni mbaya kupita maelezo....njaa inazidi, police wameanza kuwafunga raia kwenye pikipiki na kuwaburuza mitaani....hakuna upendo Kati ya mtu na mtu, UTU wa binadamu hauthaminiwi, raia wanateseka na lockdown, Corona imekuwa mungu mtu, wanaiabudu baada ya kufunga makanisa na misikiti, Kwa Hali kama hii usitarajie utulivu kwenye Nyanja yoyote Ile. Tubuni
Hakika Kenya inahitaji Maombi
 
Worse, these Kenyan fools were a free market and allowed to own properties from days of independence.

No significant stride had been made, only politicians getting rich by stealing from dirty-poor and food-hungry slum dwellers.

F-u-c-k them.
Listen to this wretched LDC slum dweller insult a mighty middle income country. Tafuta rika yenu Uganda mkapimane nao nguvu.
 
Tunaomba ushahidi, kama ni udaku hapa sio mahali pake, weka link ili tujisomee wenyewe.
Atautoa wapi ushahidi!! Akitoa ushahidi au akirudi kuchangia hii point yake unitag.
 
Hapa ndipo Kenya ilipofika wanahitaji msaada kwa kweli.

=======
SGR services at risk over Sh38bn China firm debt

Operations of the standard gauge railway (SGR) Madaraka Express passenger and cargo trains risk being grounded over Sh38 billion in unpaid bills, Parliament has warned.

The National Assembly’s Budget and Appropriations Committee (BAC) said that Kenya Railways has not paid Sh38 billion to Africa Star Railway Operation Company Ltd, the Chinese company contracted to operate the trains.

Africa Star Railway Operation Company is majority-owned by China Road and Bridge Corporation (CRBC) and was contracted in May 2017 to run the passenger and cargo trains on the SGR.

In its report on the 2020/21 Budget, the committee chaired by Kikuyu Member of Parliament Kimani Ichung’wa said that failure to pay the money could see the company pull out of the daily operations, a move that could ground the passenger and cargo trains.

Africa Star manages the ticketing system, landing and offloading of cargo and collection of passenger fares, including non-cash revenues like M-Pesa.

“Pending bills arising from operations of the standard gauge railway have accumulated to Sh38 billion and this may force the operator to pull out of the daily operations of the project,” Mr Ichung’wa said.

Kenya Railways, the infrastructure owner, however said that it had not received any protest letter from Africa Star, adding that it has also not seen any communication from Parliament over the matter.

“As Kenya Railways, we have not received any communication from Africa Star. We have also not received the report from Parliament and at the moment we cannot comment,” Kenya Railways said.

Kenya Railways has in the past disputed the pending bills claims by Africa Star charged for operating the VIP passenger trains.

Under the contract between Kenya Railways and Africa Star, the operator has the right to manage the ticketing system and any associated software and hardware.

Africa Star can only foot repair bills of less than Sh100,000 under the contract that requires Kenya Railways to pay the maintenance fees.

Further, the operator cannot be held responsible for any legal claims from third parties involving damage to property, death, illness or personal injury.

The Sh38 billion in pending bills add to the Sh420 billion that Kenya borrowed to build the modern line from Mombasa to Nairobi and purchase of engines and coaches.

They also pile the woes facing the Madaraka Express amid struggles to meet revenue targets through the passenger and cargo trains, which fell by eight percent in the four months to April from similar period last year.

Data from the Kenya National Bureau of Statistics shows that the SGR cargo and passenger trains generated Sh3.92 billion in the four months to April, from Sh4.27 billion in a similar period last year.

The data shows that cargo revenues fell to Sh3.57 billion in the period under review from Sh3.72 billion while the passenger trains raised Sh354. 9 million in the four months to April from Sh548 million last year.

The revenues are expected to fall further following suspension of passenger services in April to curb the spread of the coronavirus disease. It is still uncertain when the government will ease restrictions that were imposed to curb the spread of the respiratory disease.

Last year, the government through the Kenya Ports Authority (KPA) and the Kenya Revenue Authority (KRA) ordered that all imported cargo be transported aboard SGR cargo trains effective August last year.

The decision that was meant to shore up revenue collections by the SGR, however, led to job losses for truckers, which culminated in numerous protests.

Operation costs of the SGR are estimated at Sh12 billion a year and the underperformance in revenues prompted the directive on cargo transport from the Port of Mombasa to Nairobi and beyond.

Transport and Infrastructure Secretary James Macharia has severally defended the cargo transport directive, saying it was meant to improve efficiency at the port in line with international requirements.

Kenya Railways also increased passenger fares from Sh700 to Sh1,000 for first class travellers in 2018 in an effort to shore up the trains’ revenues. This was followed by scrapping of the subsidy offered to children between the ages of three and 11 that had been in place since May 2017.

Kenya will start upgrading the old ‘metre gauge railway (MGR) line from Naivasha to Malaba next month at an initial cost of Sh3.5 billion. The line will be linked to the SGR line at Naivasha

The upgrade that is set to be completed in 12 months is part of the government’s plans to move cargo destined to Uganda and the neighbouring countries from the Port of Mombasa.

Source: SGR services at risk over Sh38bn China firm debt
 
These multi-million dollars projects are always set by African leaders as a new wave of squandiling money and theft, their running costs are very high.The total cost even overestimated, if you cite Kenya's sgr, Ethiopia's dam construction and our sgr plus stielgier's gorge project all these money if have to be invested in rural development and agro sector can create millions of job and eradicate poverty to Many people.
 
The said ksh 38 bn is the part of operating costs and not the amount of loan taken to construct Kenya's sgr.
 
Vipi pesa ya Bongo ya madafu imekuchanganya?

Dola bilioni 38 na Shillingi bilioni 38 za Kenya ni tofauti.
 
Nijuavyo mimi anayekukopesha pesa huwa anatazama uwezo wako wa kulipa(source of income),dhamana ulizonazo na muda wa kulipa deni.Hukopeshwi tu. So hizo naona ni propaganda tu.
 
Kenya isitafute 'mateka' wa kuilipia SGR

Mtego ni kulazimisha nchi zinazotumia bandari ya Mombasa ziende Naivasha katikati ya Kenya kuchukua mizigo baada ya kusafirishwa na reli Mpya ya SGR.

Ndiyo maana ya kutoa tamko kuanzia mwezi June 2020 kuwa Uganda, Rwanda, South Sudan na Tanzania watumie hiyo bandari kavu kisingizio bandari ya Mombasa ina msongamano mkubwa wa mizigo. Ukweli ni Kenya wanataka kulazimisha Naivasha itumiwe ili SGR reli itumike ili kusaidia kuipa Kenya nafuu kwa kuichangiaji ktk kulipa deni la ujenzi wa SGR reli kupitia tozo.

Tayari Uganda wamesema hawako tayari kuburuzwa kuhamisha shughuli zao toka Mombasa mpaka Naivasha , kwa kuwa tayari Uganda imewekeza mambo mengi Mombasa kwa ajili ya huduma ktk bandari kwa miaka 35 ijayo. Pia suala la makontena ni la kimkataba baina ya wenye meli na Uganda ambao walikubaliana kushusha mizigo Mombasa. Hivyo suala hili haliweze kufanyika kwa vile Kenya inalazimisha mizigo kwenda Bandari kavu ya Naivasha iliyopi kilometa 100 toka jijini Nairobi.

https://www.theeastafrican.co.ke › ...
Uganda rejects Naivasha again, asks Kenya to fix ... - The East African

5 days ago · Uganda rejects Naivasha again, asks Kenya to fix basic facilities ... Kenyan counterpart James Macharia, indicated that the Naivasha Inland Container Depot does not have the capacity...

UMUHIMU WA MUDA KATIKA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA NJIA YA MELI (SHIPPING)


Source : Nguhulla TV

Wataalamu wa Maritime wanajua masuala haya ya shipping, clearing agency hayaweze kufanywa kisiasa na kwa kukurupuka maana kuna mikataba ya muda mrefu baina ya wenye meli na maajenti wa customers waliopo Uganda, Tanzania n.k

Kenya's push for Naivasha dry port may cause heavy fines and penalties
8 Jun 2020


Kenya has launched cargo services at the Naivasha-based inland container depot (ICD) that is expected to revolutionize transport of bulk cargo to the east Africa nation's hinterland and neighboring countries. The dry port will boost Kenya's status as a transport and logistics hub while enhancing regional integration.
Source: CGTN
 
Rekebisha heading ni ksh 38B sio USD 38B.
USD 38B hata ukiuza Kenya yote huwezi ipata!
 
Back
Top Bottom