Kenya: SGR kusimamishwa kufanya kazi hadi pale itakapolipa deni la Wachina

Kenya: SGR kusimamishwa kufanya kazi hadi pale itakapolipa deni la Wachina

Mombasa, Kenya

A Move to Naivasha , forces Senator Faki to raise a red flag



28 May 2020

KRA commences movement of transit cargo from the Port of Mombasa to the Naivasha Depot

The Kenya Revenue Authority has commenced movement of transit cargo from the Port of Mombasa to the Naivasha Inland Container Depot in a move aimed at decongesting and improving efficiency at the coastal port. The taxman says the implementation of the move means that affected cargo owners and their clearing agents will have to clear and pick their goods at the Naivasha Inland Container Depot.
Source : KBC 1
 
Stakeholders wa Bandari kukosa nyaraka kutokana na Coronavirus, Nini kifanyike?

Contract baina ya muuzaji, msafirishaji mwenye meli, mnunuzi wa mzigo , Bill of lading, courier, shippers, bandari Mombasa, Dar es Salaam port, Kenya/ Tanzania revenue authority, clearing forwarding agent. Changamoto za Bolero Bill of Lading (BBL) kama siyo mwanachama.



Source: Nguhulla TV
 
These multi-million dollars projects are always set by African leaders as a new wave of squandiling money and theft, their running costs are very high.The total cost even overestimated, if you cite Kenya's sgr, Ethiopia's dam construction and our sgr plus stielgier's gorge project all these money if have to invested in rural development and agro sector can create millions of job and eradicate poverty to Many people.
Mkuu nashukuru sana, ningetamani viongozi wetu wawe na maono haya, ubarikiwe sana.
 
Mleta mada huu ujinga utaacha lini. Dollar billion 34 sgr tu watanzania tunakwama wapi lakini?
 
What about freight charges imposed by the SGR Kenya Railway will it be economically for cargo owners to use Naivasha Dry port in central Kenya ? We would like to know from Mr. Macharia.

More info about international trade :

Freight charges by shipowner



Source : Nguhulla TV
 
Maana ya Bandari kijiografia



Kujua kazi za bandari ni muhimu sana. Kwani ina maana zaidi ya ile tunayo ifahamu .

Bandari siyo sehemu ya shushusha na kupakia mizigo peke yake bali kuna kazi nyingi sana ambazo kwa ujumla wake ndiyo zinaleta maana ya "Bandari ni Lango la Uchumi wa Taifa"

Source: Nguhulla TV
 
Mkuu nashukuru sana, ningetamani viongozi wetu wawe na maono haya, ubarikiwe sana
tatizo ni mfumo mzima umeharibika, hatuna sera na vipaumbele vinavyotuongoza kama taifa matokeo yake kila anayekuja anakuja na vipaumbele vyake.
 
Lugha ni tatizo kwa wengi. Hilo sio deni la SGR kama reli na hawajashindwa kulipa. Kuwa disputed bill ina maana hamkubaliani sio kushindwa kulipa. Pili hiyo pesa ni kati ya operator na mamlaka ya Reli Kenya sio sehemu ya deni kati yake na mkopeshaji.
 
Ili tuendelee lazima tufanye mapinduzi kwenye kilimo cha kisasa na science na tecnology ambavyo tutaviapply kwenye kilimo na ufugaji ili kupata mbegu bora na kuongeza uzalishaji then tunakuja kwenye mapinduzi ya viwanda ambapo tayari tutakua tunazalisha malighafi za kutosha kwa kufeed the emerging industries ambavyo vitarange kuanzia processing to manufacturing, mwisho tunamove kwenye heavy industries.

Hivi vinaajiri watu wengi sana kwa hiyo mkishafika hii stage automatically wakulima na watu wanaoishi vijijini wataanza kuja mijini kutafuta kazi viwandani na viwanda vinakuwa na uhitaji mkubwa wa vibarua wenye ujuzi na wasio na ujuzi, hawahawa wanageuka kua soko kwa bidhaa za viwandani miji pia inazidi kukua kwa kasi, watu wa kipato cha kati wanaongezeka kwa kasi na hali za maisha zinakuwa bora, kutokana na miundo mbinu bora mkulima wa kijijini anapata bei nzuri ya mazao yake haitaji tena kuleta mazao mjini kwani ataweza kuuza hukohuko alipo kwa bei nzuri maisha ya mkulima yanabadilika anakua na uwezo wa kumudu gharama za kusomesha watoto shule nzuri.

Kutokana na mahitaji makubwa ya malighafi hasa mazao, kilimo kinakuacommercialized makampuni makubwa na watu wenye mitaji mikubwa wanaamua kuwekeza ktk commercial large scale farming ambapo pia watatoa ajira kwa watu wengi sana so within two decades we can move to a middle economy hata serikali itanaongeza makusanyo ya kodi.
 
Back
Top Bottom