Kenya SGR phase 2

Kenya SGR phase 2

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Yote tisa, bado twasonga mbele.
The Mai Mahiu Railway station.

1072985

1072986

1072987

1072991
 
images
Alafu waambie wabongo kwamba hivi ndio reli huwa inatandazwa, sio wanatumia mikono ya kina luangalila Rugemalila kutandaza chuma moja moja utadhani tupo mwaka wa 1895.
 
images
Alafu waambie wabongo kwamba hivi ndio reli huwa inatandazwa sio wanatumia mikono ya kina @Luangalia Rugemalila utadhani tupo mwaka wa 1895.
Wabongo hatuna neno na SGR ya gharama Kenya,sisi tunajenga ya kwetu ya umeme ndio maana umakini ni mwingi mno[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Kitu cha 47's unajengaje na mikono bana,ni kupoteza muda kwa vitu vya kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Treni ndio za umeme au reli ndio itakuwa ya umeme? Reli ya Kenya sio class 2 kama yenu na ile ya Ethiopia. Reli mkitandaza kwa mikono sio eti ndio mnafanya kwa umakini. Kutandaza kwa mikono ndio huwa inaleta error kubwa ukilinganisha na 'machinization'. Acheni ushamba, vituo vyenu vya treni pekee yake vinaeleza yote.
 
Treni ndio za umeme au reli ndio itakuwa ya umeme? Reli ya Kenya sio class 2 kama yenu na ile ya Ethiopia. Reli mkitandaza kwa mikono sio eti ndio mnafanya kwa umakini. Kutandaza kwa mikono ndio huwa kuna leta error kubwa ukilinganisha na 'machinization'. Acheni ushamba, vituo vya treni pekee yake vinaeleza yote.
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hata uhuru aliwaambia ni SGR standard one, namimi nikatae kama nani??? , hiyo ni standard one tena adavanced ni double stack.

Ila hii ya kwetu ni ya umeme, si unaona hata inaunganishwa kwa moto[emoji16][emoji16][emoji16], ni ili iweze kumudu the speed with mass.
 
Kwani zingine huwa zinaunganishwa kwa maji?
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hata uhuru aliwaambia ni SGR standard one, namimi nikatae kama nani??? , hiyo ni standard one tena adavanced ni double stack.

Ila hii ya kwetu ni ya umeme, si unaona hata inaunganishwa kwa moto[emoji16][emoji16][emoji16], ni ili iweze kumudu the speed with mass.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hata uhuru aliwaambia ni SGR standard one, namimi nikatae kama nani??? , hiyo ni standard one tena adavanced ni double stack.

Ila hii ya kwetu ni ya umeme, si unaona hata inaunganishwa kwa moto[emoji16][emoji16][emoji16], ni ili iweze kumudu the speed with mass.
Hii comment yako inanikumbusha hili tukio hapa. Itakuwa huyu hapa anayedeki barabara ni wewe. 😀 Rais Obama alipozuru Tanzania.
CVi9ch5UAAE9uLi.png:small
 
Acha ujinga bana, barabara ilidekiwa na vijana ili mgombea upinzani apite na gari lake 2015.

Huyo obama wenu labda mlimdekia barabara huko kwao kenya.
 
Umenoa, hiyo ni picha ya ujio wa rais Obama Tanzania. Alafu umenifurahisha sana, eti huwa mnapiga deki barabara ili wanasiasa wapite? [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nani mpuuzi zaidi, anayedeki barabara na anayekata panga mwenzie kisa mwanasiasa!!!
 
Hii comment yako inanikumbusha hili tukio hapa. Itakuwa huyu hapa anayedeki barabara ni wewe. 😀 Rais Obama alipozuru Tanzania.
CVi9ch5UAAE9uLi.png:small
ACHA Uongo ww Obama alipozuru bongo watu hawakupiga deki ila kulikuwa kuna marekebisho ya barabara alizo pita
 
Luangalila najua mtakana ya Obama kwasababu asili yake ni Kenya ila George Bush naye pia mlimdekia barabara. Hata dawa ya kungamiza mbu mlipuliza kote kote mitaani. [emoji1] Wabongo kwa shobo bana.
 
Back
Top Bottom