Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo hatuna neno na SGR ya gharama Kenya,sisi tunajenga ya kwetu ya umeme ndio maana umakini ni mwingi mno[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Alafu waambie wabongo kwamba hivi ndio reli huwa inatandazwa sio wanatumia mikono ya kina @Luangalia Rugemalila utadhani tupo mwaka wa 1895.![]()
Treni ndio za umeme au reli ndio itakuwa ya umeme? Reli ya Kenya sio class 2 kama yenu na ile ya Ethiopia. Reli mkitandaza kwa mikono sio eti ndio mnafanya kwa umakini. Kutandaza kwa mikono ndio huwa inaleta error kubwa ukilinganisha na 'machinization'. Acheni ushamba, vituo vyenu vya treni pekee yake vinaeleza yote.Wabongo hatuna neno na SGR ya gharama Kenya,sisi tunajenga ya kwetu ya umeme ndio maana umakini ni mwingi mno[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Kitu cha 47's unajengaje na mikono bana,ni kupoteza muda kwa vitu vya kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hata uhuru aliwaambia ni SGR standard one, namimi nikatae kama nani??? , hiyo ni standard one tena adavanced ni double stack.Treni ndio za umeme au reli ndio itakuwa ya umeme? Reli ya Kenya sio class 2 kama yenu na ile ya Ethiopia. Reli mkitandaza kwa mikono sio eti ndio mnafanya kwa umakini. Kutandaza kwa mikono ndio huwa kuna leta error kubwa ukilinganisha na 'machinization'. Acheni ushamba, vituo vya treni pekee yake vinaeleza yote.
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hata uhuru aliwaambia ni SGR standard one, namimi nikatae kama nani??? , hiyo ni standard one tena adavanced ni double stack.
Ila hii ya kwetu ni ya umeme, si unaona hata inaunganishwa kwa moto[emoji16][emoji16][emoji16], ni ili iweze kumudu the speed with mass.
[emoji23][emoji23][emoji23]pole bana.
Hii comment yako inanikumbusha hili tukio hapa. Itakuwa huyu hapa anayedeki barabara ni wewe. 😀 Rais Obama alipozuru Tanzania.[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hata uhuru aliwaambia ni SGR standard one, namimi nikatae kama nani??? , hiyo ni standard one tena adavanced ni double stack.
Ila hii ya kwetu ni ya umeme, si unaona hata inaunganishwa kwa moto[emoji16][emoji16][emoji16], ni ili iweze kumudu the speed with mass.
Acha ujinga bana, barabara ilidekiwa na vijana ili mgombea upinzani apite na gari lake 2015.Hii comment yako inanikumbusha hili tukio hapa. Itakuwa huyu hapa anayedeki barabara ni wewe. 😀 Rais Obama alipozuru Tanzania.![]()
Umenoa, hiyo ni picha ya ujio wa rais Obama Tanzania. Alafu umenifurahisha sana, eti huwa mnapiga deki barabara ili wanasiasa wapite? [emoji1][emoji1][emoji1]Acha ujinga bana, barabara ilidekiwa na vijana ili mgombea upinzani apite na gari lake 2015.
Huyo obama wenu labda mlimdekia barabara huko kwao kenya.
Nani mpuuzi zaidi, anayedeki barabara na anayekata panga mwenzie kisa mwanasiasa!!!Umenoa, hiyo ni picha ya ujio wa rais Obama Tanzania. Alafu umenifurahisha sana, eti huwa mnapiga deki barabara ili wanasiasa wapite? [emoji1][emoji1][emoji1]
Unamaanisha yule diwani wenu wa chama cha upinzani aliyechanja chanjwa na mapanga? [emoji15]Nani mpuuzi zaidi, anayedeki barabara na anayekata panga mwenzie kisa mwanasiasa!!!
Nani mpuuzi zaidi, anayedeki barabara na anayekata panga mwenzie kisa mwanasiasa!!!
This is good let's now get to the third phaseYote tisa, bado twasonga mbele.
The Mai Mahiu Railway station.
View attachment 1072985
View attachment 1072986
View attachment 1072987
View attachment 1072991
ACHA Uongo ww Obama alipozuru bongo watu hawakupiga deki ila kulikuwa kuna marekebisho ya barabara alizo pitaHii comment yako inanikumbusha hili tukio hapa. Itakuwa huyu hapa anayedeki barabara ni wewe. 😀 Rais Obama alipozuru Tanzania.![]()